• Nairobi
  • Last Updated April 16th, 2024 6:55 PM

Walimu wataka kila shule ipewe mhudumu wa afya

Na STEVE NJUGUNA CHAMA cha Walimu wa Shule za Upili na Vyuo (Kuppet), kimeitaka serikali kupeleka wahudumu wa afya katika shule za...

Shule zafunguliwa kwa tahadhari

Na WAANDISHI WETU AWAMU ya kwanza ya ufunguzi wa shule za msingi na sekondari ilianza rasmi jana ikigubikwa na sintofahamu na tahadhari,...

Sintofahamu shule zikifunguliwa leo hii

Na WAANDISHI WETU SHULE za msingi na za sekondari nchini zinafunguliwa hii leo huku kukiwa na changamoto tele zinazotishia kutatiza hata...

Hatua ya kufungua shule yapingwa kortini

Na GEORGE ODIWUOR WANAHARAKATI wawili kutoka Kuanti ya Homa Bay wamewasilisha kesi mahakamani, wakitaka mpango wa kufunguliwa kwa shule...

Wanafunzi wa Kidato cha Nne, Darasa la Nane na Darasa la Nne kurejea shuleni Jumatatu

NA FAUSTINE NGILA WIZARA ya Elimu imewataka wanafunzi wa Kidato cha Nne, Darasa la Nane na Darasa la Nne kurejea shuleni Jumatatu ijayo...

Magoha bado asisitiza shule zafaa kufunguliwa sasa

Na CHARLES WASONGA WAZIRI wa Elimu, Prof George Magoha amesisitiza kuwa wakati umetimia kwa shule zote kufunguliwa.Mnamo Jumatatu, Rais...

Usalama wa watoto ni muhimu kuliko ufunguzi wa shule – Wazazi

Na SAMMY WAWERU Huku hali ya sintofahamu kuhusu ufunguzi wa shule hivi karibuni ikishuhudiwa, wazazi wameridhia kauli ya Rais Uhuru...

Corona ilivyochelewesha ndoto za wanafunzi

Na ANGELINA MWAKOI Loice Chanya ni mwanafunzi wa Kidato cha Nne katika Shule ya Upili ya Senior Chief Mwangeka Girls High School, katika...

Madaktari waonya dhidi ya kufungua shule haraka

BENSON MATHEKA na VALENTINE OBARA MADAKTARI nchini wameonya serikali dhidi ya kuharakisha kufungua shule kabla ya kupata ushahidi...

Huenda shule zifunguliwe Oktoba 19

Na FAITH NYAMAI SHULE huenda zikafunguliwa Oktoba 19, iwapo serikali itakubali mapendekezo ya kamati inayosimamia masuala ya elimu...

Shule za kibinafsi zaomba msaada

Na SAMMY WAWERU Baadhi ya wamiliki wa shule za kibinafsi nchini wameiomba serikali kuwasaidia kuafikia mahitaji yanayotakikana ili...

Dalili serikali itafungua shule mwezi Oktoba

NA FAITH NYAMAI UWEZEKANO wa shule, taasisi za elimu na vyuo vikuu kufunguliwa mwezi ujao wa Oktoba unazidi kuongezeka baada ya Waziri...