Friday, March 8th, 2019
BI TAIFA IJUMAA, MACHI 8, 2019
Aliyebahatika kuwa mgeni wetu kwenye ukumbi huu ni malkia Sakeenah Raysheed kutoka kaunti ya Kirinyaga. Yeye hupenda kucheza densi, kuogelea na kutazama sinema hasa ‘soap opera’. Picha/ Joseph Kanyi