• Nairobi
  • Last Updated February 29th, 2024 6:55 PM

FAUSTINE NGILA: Heko AU kuunda teknolojia ya paspoti za kidijitali

NA FAUSTINE NGILA Je, unafahamu kuwa safari zote za ndege sasa zinawalazimu wasafiri kuwa na paspoti ya corona kando na ile ya kawaida?...

AfCFTA yazindua programu ya simu kupanua biashara barani Afrika

NA RICHARD MAOSI BARA la Afrika limepiga hatua muhimu katika ndoto yake ya kuanzisha soko la pamoja la kidijitali baada ya kuzindua...

AU yazindua mfumo wa dijitali kukomesha corona barani

NA FAUSTINE NGILA HUKU mataifa kadha ya Afrika yekirejelea safari za ndege za kimataifa mwezi huu kwa mara ya kwanza tangu Machi, Umoja...

Walimu wa Kenya wapata tuzo za UN, AU

Na COLLINS OMULO na FAITH NYAMAI WALIMU wawili wa humu nchini wamepata tuzo ya kimataifa wiki hii kwa kazi nzuri na kwa kuwasaidia...

Soko la Pamoja la Afrika: Makubaliano yaafikiwa

Na AFP MUUNGANO wa Afrika (AU) mnamo Jumapili uliafikia maelewano ya kibiashara ambayo yatawezesha biashara baina ya mataifa ya bara...

GUGUMAJI ZIWANI: Jukumu la kwanza la Raila AU

Na CHARLES WASONGA KIONGOZI upinzani Raila Odinga Ijumaa alitekeleza wajibu wake wa kwanza kama Mjumbe Maalum wa Umoja wa Afrika (AU)...

Raila aanza kazi rasmi AU, ahudhuria kikao Ethiopia

Na PETER MBURU KIONGOZI wa chama cha ODM Raila Odinga, ameanza rasmi kuchapa kazi yake mpya katika muungano wa AU, ambayo alipata wiki...