• Nairobi
  • Last Updated December 5th, 2023 10:25 PM

JUMA NAMLOLA: Bunge lisitumiwe kama ‘danganya toto’ kuwapa wananchi matumaini hewa

Na JUMA NAMLOLA KUNA hekaya maarufu sana miongoni mwa wakazi wa Pwani. Aliyekuwa Seneta wa Kwale, marehemu Boy Juma Boy (Mola amrehemu),...

Wabunge warejelea vikao huku wakitarajiwa kushughulikia miswada yenye umuhimu kitaifa

Na CHARLES WASONGA BUNGE la Kitaifa linarejelea vikao vyake Jumanne, Novemba 9, 2021, baada ya likizo fupi ya majuma mawili ambapo...

CHARLES WASONGA: Tukatae mswada wa kulipia wabunge bima ya afya

Na CHARLES WASONGA MWENENDO wa wabunge kujitakia makuu kila uchaguzi unapokaribia, jinsi inavyodhihirika katika mswada utakaojadiliwa...

Corona yanusuru Sh290 milioni bungeni

Na JOHN MUTUA KANUNI kali za kupambana na ueneaji virusi vya corona kimataifa, ziliwezesha Kenya kuokoa zaidi ya Sh289.3 milioni kwa...

Bunge kuzindua kanuni zake katika Kiswahili leo

Na CHARLES WASONGA BUNGE la Kitaifa linatarajiwa kupiga hatua muhimu katika matumizi ya lugha ya Kiswahili kuendeshea shughuli zake kwa...

Pigo kwa Bunge huku mahakama ikizima sheria 23

Na JOSEPH WANGUI MAHAKAMA Kuu imebatilisha Sheria 23 zilizopitishwa na Bunge la Taifa bila mchango wa seneti, ikisema zimekiuka...

BBI: Bunge laahirisha vikao vya Jumatano

Na CHARLES WASONGA VIKAO vya bunge vya Jumatano, Novemba 27, 2019, vimeahirishwa kutoa nafasi kwa wabunge kuhuhuria hafla ya kuzinduliwa...

RIBA: Wabunge wengi wasusia kikao cha asubuhi

Na CHARLES WASONGA BUNGE Jumatano limeahirisha kikao cha asubuhi mapema baada ya wabunge wengi kukosa kufika ukumbini katika kile...

Wabunge vijana wanavyozembea mijadala muhimu bungeni

Na NYAMBEGA GISESA WABUNGE vijana wameorodhoshwa miongoni mwa wasiochangia mijadala kwenye vikao vya bunge kwa miaka miwili...

Wabunge wajitengea Sh7b bila kujali wananchi

Na BERNARDINE MUTANU WAKENYA watazidi kuumia kutokana na ari ya wabunge kujitwalia pesa zaidi bila kujali maslahi ya wananchi. Sasa...

Ahadi za Rais bungeni bado hewa

Na LEONARD ONYANGO TANGU alipochukua hatamu za uongozi mnamo 2013, Rais Uhuru Kenyatta amekuwa akiahidi Wakenya mengi kupitia hotuba...

Shughuli nyingi zinazoisubiri Bunge kuanzia Februari 12

Na CHARLES WASONGA BUNGE la Kitaifa linarejelea vikao vyake mnamo Februari 12, 2019 baada ya likizo ndefu ya Krismasi na Mwaka Mpya huku...