• Nairobi
  • Last Updated May 22nd, 2024 6:07 PM

CHOCHEO: Zidisha mashamsham, sizubae!

Na BENSON MATHEKA DELO alikuwa katika mkutano muhimu kazini mchumba wake Jane alipompigia simu. Hakuweza kuijibu na akamtumia arafa...

CHOCHEO: Ukitunzwa, jitunze!

Na BENSON MATHEKA VISA vya watu kumezea mate wachumba wa watu vimeongezeka na wakati mwingine kuzua maafa. Pia imekuwa kama jambo la...

CHOCHEO: Usiwe mwepesi wa kumeza chambo

Na BENSON MATHEKA “NIMEANGUKIA, Mike ana kila kitu nilichotamani kwa mchumba wa maisha yangu,” Lena alikumbuka Brigitte akimwambia...

CHOCHEO: Siri ya mapenzi yenye raha na yanayodumu

Na BENSON MATHEKA “Unajua ni kwa nini ndoa zinavunjika?” Sam Femi, mwanasaokolojia wa shirika la Dreams and Counseling Services,...

CHOCHEO: Chunga ‘mboch’ asijepasha joto kitanda chako

  Na BENSON MATHEKA BAADA ya miaka sita ya ndoa, Eve aligundua kwamba mumewe alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na kijakazi...

CHOCHEO: Usimkaribie tu, mguseguse…

Na BENSON MATHEKA “SIO kwa ubaya lakini nimemchoka,” Carol aliambia wazazi wake walipomuuliza sababu ya kumwacha mumewe wa miaka...

CHOCHEO: Asali sio leseni ya ndoa

Na BENSON MATHEKA UHUSIANO wa Maria na Mike ulikuwa mzuri kwa miaka minne. Maria alikuwa amekata kauli kwamba kapata mpenzi wa maisha...

CHOCHEO: Usimpe mpenzi wako sababu ya kukushuku

Na BENSON MATHEKA JEPHINA alimtaliki mumewe Sammy kwa sababu ya kumchunga. Kwa mwanadada huyu, hakuweza kuishi na mwanamume asiyeweza...

CHOCHEO: Kukataa mchezo wa huba ni kuhatarisha ndoa – Washauri

Na BENSON MATHEKA CIDY anajuta kumkaushia mumewe Zack kwa uroda alipokataa kumnunulia zawadi siku yake ya kuzaliwa. Zack alivumilia...

CHOCHEO: Ukijua anachepuka, utafanyaje?

Na BENSON MATHEKA HARRY alitarajia mkewe Cynthia amkasirikie na kununa alipogundua kwamba alikuwa amekula ufuska na kipusa...

CHOCHEO: Kumchongoa sawa na kuchongea penzi lenu

Na BENSON MATHEKA “MBONA huwezi kuwa kama mume wa Njoki ambaye hushinda na watoto wake na kumthamini mkewe?” Hii ilikuwa mara ya...

CHOCHEO: Utachombeza au kuyatema Valentino hii?

Na BENSON MATHEKA KESHO ni siku ya wapendanao na Jenny anasema hatakuwa na raha kwa sababu mpenzi wake Ted hakumtimizia aliyotaka mwaka...