• Nairobi
  • Last Updated December 5th, 2023 10:25 PM

Mawakili wataka DPP atimuliwe

Na RICHARD MUNGUTI SHINIKIZO za kumtaka Mkurugenzi wa mashtaka ya Umma (DPP) Noordin Haji atimuliwe afisini zilipamba moto Jumatatu huku...

Mzozo wa DPP na DCI waanikwa na kesi ya mauaji ya Cohen

Na BENSON MATHEKA KESI ya mauaji ya bwanyenye kutoka Uholanzi, Tob Cohen imeanika tofauti zinazoendelea kupanuka kati ya Mkurugenzi wa...

DPP apewa mwezi mmoja kuamua ikiwa atamshtaki upya Wambua

Na Lillian Mutavi Mahakama ya Kithimani, Kaunti ya Machakos imempatia Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP) siku 30 kuamua iwapo...

DPP aonya polisi wanaoua vijana

Na MISHI GONGO MKURUGENZI wa Mashtaka ya Umma, Bw Noordin Haji, ameonya maafisa wa usalama wanaodaiwa kuteka nyara vijana wanaoshukiwa...

Haji, Kinoti wakana madai kuwa wamekosana

Na CHARLES WASONGA MKURUGENZI wa Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) George Kinoti na mwenzake wa Mashtaka ya Umma (DPP) Noordin Haji...

MATHEKA: Ofisi ya DPP izingatie utaalamu kukusanya ushahidi

Na BENSON MATHEKA MJADALA kuhusu iwapo magavana wanaoshtakiwa kwa ufisadi wanapaswa kuzuiwa kukanyaga ofisi zao umekuwa ukiendeelea kwa...

DPP aruhusiwa kuwasilisha ushahidi dhidi ya Kidero

Na RICHARD MUNGUTI MKURUGENZI wa Mashtaka ya Umma (DPP) Jumatatu aliruhusiwa na mahakama ya kuamua kesi za ufisadi awasilishe ushahidi...

DPP aamriwa awasilishe mashtaka mapya dhidi ya Ongwae

Na RICHARD MUNGUTI MKURUGENZI wa Mashtaka ya Umma (DPP) Alhamisi alipewa muda wa siku 14 kuwasilisha mashtaka mapya dhidi ya aliyekuwa...

DPP Haji atoa orodha ya washukiwa wa ufisadi kutoka makabila ya nchini Kenya

Na BENSON MATHEKA MKURUGENZI wa Mashtaka ya Umma (DPP), Bw Noordin Haji, amezima wanaodai kuwa vita dhidi ya ufisadi vinalenga jamii moja...

Walioasi ugaidi wasaidiwe – DPP

Na MOHAMED AHMED UKOSEFU wa mpango murwa wa kuwarekebisha tabia na kuwarudisha kwenye jamii waliokuwa wamejiunga na makundi ya kigaidi,...

Heroini: DPP ataka mshukiwa aozee jela miaka miaka 22

NA BRIAN OCHARO Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP) Noordin Haji anataka mfanyabiashara ambaye anatumikia kifungo cha miaka 22 gerezani...

Walioiba pesa za NHIF wanastahili adhabu ya wauaji, asema DPP

NA RICHARD MUNGUTI MKURUGENZI wa Mashtaka ya Umma (DPP) Noordin Haji alieleza mahakama ya kuamua kesi za ufisadi kuwa wakuu 21 katika...