• Nairobi
  • Last Updated February 29th, 2024 6:55 PM

Magoha aonya wakuu wa shule kuhusu karo

NA DERICK LUVEGA WALIMU wakuu watakaokiuka sheria inayowazuia kuwafukuza wanafunzi ambao hawajamaliza kulipa karo watakabiliwa na hatua...

CHAKISTA mwenge thabiti wa Kiswahili katika Shule ya Upili ya State House Girls

Na CHRIS ADUNGO CHAMA cha Kiswahili katika Shule ya Upili ya State House Girls, Nairobi (CHAKISTA) kipo mstari wa mbele kuhakikisha...

TAHARIRI: Sekta ya elimu yahitaji mageuzi

NA MHARIRI SHULE zinafunga wiki hii ili kukamilisha muhula wa kwanza katika kalenda mpya ya elimu nchini. Kalenda ya elimu ilivurugwa...

WANTO WARUI: Mpango wa kulipa walimu wapya mapema ni wazo la busara

NA WANTO WARUI HATIMAYE Chama Cha Huduma kwa Walimu nchini (TSC) kimepanga kuanzisha utaratibu mpya wa kuwalipa walimu wapya wanaojiunga...

Serikali yataka walimu warudishe ‘karo’ haramu

Na VICTOR RABALLA WIZARA ya Elimu imeamrisha walimu wakuu warejeshe pesa ambazo wamezipokea kwa njia ya haramu au kuziongeza kama karo...

WANDERI KAMAU: Tumekisaliti kizazi cha sasa kwa jina la elimu

Na WANDERI KAMAU TANGU jadi, jamii imekuwa ikiichukulia elimu kuwa “ufunguo wa maisha”.Naam, elimu ni njia pekee ya hakika ya...

Wanafunzi 94 kutoka Thika kupata ufadhili masomoni

Na LAWRENCE ONGARO WANAFUNZI kutoka familia maskini wapatao 94 katika kaunti ndogo ya Thika watanufaika na mpango wa serikali kuwasaidia...

Utangamano wa kitaifa ni moja ya malengo muhimu ya elimu, tuuthamini!

Na ALI SHISIA Jitihada zinazofanywa na wanajamii wa kila nui kuhakikisha wanao wanapata elimu hukusudia jambo moja; wana hao...

Hazina ya NG-CDF kufadhili elimu ya wanafunzi vyuoni

Na Lawrence Ongaro WANAFUNZI wa vyuo kutoka Thika wamehimizwa kujikusanya katika makunddi ili wanufaike na fedha za hazina ya kitaifa ya...

CHARLES WASONGA: Elimu eneo la Kaskazini mwa Kenya iimarishwe

Na CHARLES WASONGA SERIKALI kuu inapaswa kukabiliana na changamoto zinazoathiri viwango vya elimu katika maeneo ya kaskazini mwa Kenya...

Wizara yamtishia mwalimu aliyefichua masaibu yake

Na WYCLIFFE NYABERI WAKUU wa elimu katika Kaunti ya Narok, wametishia kumwadhibu mwalimu kwa kuwafichulia wanahabari matatizo...

Mwalimu Mkuu alivyojitoa mhanga kufanikisha elimu

Na WYCLIFFE NYABERI MWALIMU Mkuu wa shule ya kutwa ya Sosiana iliyo Transmara Mashariki, Kaunti ya Narok, Bi Margret Njoki, amekuwa...