• Nairobi
  • Last Updated June 12th, 2024 4:24 PM

JUNGU KUU: Magavana walioshindwa sumu kwa wale wa sasa

Na BENSON MATHEKA MAGAVANA waliohudumu kwa muhula mmoja kuanzia 2013 hadi 2017 wanakabiliwa na wakati mgumu wakitaka kugombea kiti hicho...

Rutto aonya ugatuzi utafeli kabisa iwapo mbinu zake hazitazingatiwa

Na KNA ALIYEKUWA gavana wa Bomet, Bw Isaac Rutto, amedai kuwa ugatuzi umesahaulika hivyo basi kuanza kufifia tangu alipoondoka ofisi ya...

Wiper, CCM zaingia Jubilee

NA DAVID MWERE Kinara wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka ametia sahihi mkataba wa ushirikiano kati ya chama chake cha Wiper na chama...

Isaac Ruto akanusha kutumiwa helikopta na Ikulu

Na VITALIS KIMUTAI KIONGOZI wa Chama Cha Mashinani (CCM), Isaac Ruto, amekanusha madai kwamba Jumatano asubuhi alitumiwa helikopta...

Nyota ya kisiasa ya Isaac Ruto yaanza kung’aa tena

TOM MATOKE na WYCLIFF KIPSANG ALIYEKUWA Gavana wa kwanza wa Bomet, Bw Isaac Ruto, anazidi kuonekana kupata mwamko mpya kisiasa katika...

Isaac Ruto amkosoa Raila kwa kushirikiana na Uhuru

Na ANITA CHEPKOECH ALIYEKUWA Gavana wa Bomet, Bw Isaac Ruto, amekosoa mwafaka wa Rais Uhuru Kenyatta na Kiongozi wa Upinzani Raila...