Tag: jamvi
JAMVI: Joho atuliza boli uwanja wa siasa ukialika Nassir, Shahbal
VALENTINE OBARA na ANTHONY KITIMO GAVANA wa Mombasa, Bw Hassan Joho, anazidi kujiweka nyuma nyuma kuhusu ubabe wa kisiasa Pwani wakati...
JAMVI: Vizingiti vya Raila kugeuzwa kuwa mradi wa Uhuru
Na CHARLES WASONGA HATUA ya Rais Uhuru Kenyatta ya kushirikisha kiongozi wa ODM Raila Odinga katika ziara zake za kuzindua na kukagua...
JAMVI: Hofu waliohamia Tangatanga ni ‘majasusi’
Na WANDERI KAMAU LICHA ya baadhi ya wanasiasa kutangaza kuhamia katika mrengo wa ‘Tangatanga’ kutoka ‘Kieleweke’ na mirengo...
JAMVI: Raila kuvizia ziara za Rais Ukambani kwaibua hofu
Na BENSON MATHEKA HATUA ya kiongozi wa ODM, Raila Odinga, ya kuandamana na Rais Uhuru Kenyatta alipozuru kaunti za Machakos na Makueni...
JAMVI: Ruto hatarini kupoteza chambo chake kisiasa
VALENTINE OBARA na PATRICK LANG’AT NAIBU Rais William Ruto yuko hatarini kupoteza ushawishi ambao amepata miongoni mwa wananchi wa...
JAMVI: Kalonzo alivyowazidimaarifa magavana wa Ukambani
Na BENSON MATHEKA Juhudi za magavana wa kaunti tatu za Ukambani kuzima kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka asiwike kwenye ziara...
JAMVI: Madhara yanukia IEBC ikibanwa na muda wa maandalizi ya uchaguzi
Na CHARLES WASONGA TANGAZO la Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kwamba haitaweza kuweka mipaka mipya ya maeneo wakilishi kabla ya...
2022: Kuna dalili Uhuru atasema ‘Raila Tosha’
Na BENSON MATHEKA DALILI za wazi kuwa Rais Uhuru Kenyatta huenda akamtangaza kiongozi wa chama cha ODM, Raila Odinga kuwa mrithi wake,...
JAMVI: Ruto kupokelewa kishujaa Kisumu kunaashiria nini?
Na CHARLES WASONGA HISIA mseto imeibuka kuhusu mapokezi mazuri ambayo Naibu Rais William Ruto alipokea mjini Kisumu Jumanne wakati wa...
JAMVI: Mwamko mpya Pwani 2022
Na WAANDISHI WETU UKANDA wa Pwani huenda ukapata magavana wa kwanza wa kike katika uchaguzi mkuu ujao, iwapo wanasiasa walioonyesha...
JAMVI: Wandani wauma Raila kichwa huku 2022 ikibisha hodi
Na CHARLES WASONGA KIONGOZI wa ODM Raila Odinga anakabiliwa na kizungumkuti kikubwa kuamua wagombeaji atakaowaunga mkono katika viti...
JAMVI: Mirindimo mipya ya Tangatanga baada ya BBI kuzikwa
Na WANDERI KAMAU MRENGO wa ‘Tangatanga’ umepata msisimko mpya wa kisiasa katika ukanda wa Mlima Kenya na Bonde la Ufa, kufuatia...