• Nairobi
  • Last Updated October 1st, 2023 9:40 PM

Hila ya Ruto kumtetea Kalonzo

NA BENSON MATHEKA NAIBU RAIS William Ruto amezua mdahalo kwa kumtetea kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka kuteuliwa mwaniaji...

CECIL ODONGO: Kauli ya Kalonzo na Mudavadi ithibati hawana haja na ikulu

Na CECIL ODONGO KAULI ya vinara wawili wa One Kenya Alliance (OKA), kuwa muungano wao hauna mbio kumteua mwaniaji wa Urais 2022,...

Kalonzo kimya ngome yake ikivamiwa

NA CHARLES WASONGA KIONGOZI WA WIPER Kalonzo Musyoka ameonekana kulegea huku Naibu Rais William Ruto na kiongozi wa ODM Raila Odinga...

Kalonzo awalilia vinara wa OKA wampe tiketi apeperushe bendera ya urais 2022

Na SAMMY WAWERU KIONGOZI wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka amewalilia vinara wenza katika Okoa Kenya Alliance (OKA) kumpa tiketi ya...

Kuongeza bei ya mafuta kunaongezea umaskini Kenya – Kalonzo

Na WINNIE ONYANDO VIONGOZI wa kisiasa wakiongozwa na Kinara wa Wiper, Kalonzo Musyoka waliishutumu serikali vikali kwa kuongeza bei za...

Ruto na Kalonzo kumenyana tena Ukambani

Na Pius Maundu NAIBU Rais William Ruto anatarajiwa kumenyana tena kisiasa na kiongozi wa Wiper, Kalonzo Musyoka, kwenye uchaguzi mdogo...

Kalonzo amrai Shahbal arejee chamani Wiper

Na ANTHONY KITIMO KIONGOZI wa Chama cha Wiper, Bw Kalonzo Musyoka amemrushia ndoano mfanyabiashara Suleiman Shahbal ambaye amepanga...

JAMVI: Kalonzo alivyowazidimaarifa magavana wa Ukambani

Na BENSON MATHEKA Juhudi za magavana wa kaunti tatu za Ukambani kuzima kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka asiwike kwenye ziara...

Kalonzo, Kivutha waahidi kushirikiana katika maendeleo

BENSON MATHEKA NA PSCU KIONGOZI wa chama cha Wiper, Kalonzo Musyoka, na Gavana wa Makueni Kivutha Kibwana, wamesema kwamba hawatakubali...

Mizozo ya wanasiasa yaua ziara ya Uhuru Ukambani

Na CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyatta ameahirisha ziara yake ya siku mbili eneo la Ukambani kwa kile ambacho Ikulu ilisema ni hofu ya...

CECIL ODONGO: Tumjuavyo huyu Kalonzo, atakunja mkia tu

Na CECIL ODONGO KINARA wa Wiper Kalonzo Musyoka anajipiga kifua bure kwa kudai kwamba, heri astaafu siasa kuliko kumuunga mkono Raila...

Nilikataa chanjo ya masonko nikachanjwa ile ya ‘mahasla’ – Kalonzo

Na SAMMY WAWERU KIONGOZI wa Wiper Kalonzo Musyoka sasa amesema alipokea chanjo ya 'mahasla' na inayotolewa kwa kila Mkenya. Akionekana...