• Nairobi
  • Last Updated April 16th, 2024 6:55 PM

Baadhi ya wanafunzi wafanyia KCSE hospitalini, jela

KALUME KAZUNGU NA SIAGO CECE WATAHINIWA wawili wa Mtihani wa Kitaifa wa Shule za Upili (KCSE) katika Kaunti ya Lamu, walilazimika...

Anaswa akimfanyia babake KCSE

NA WAANDISHI WETU WATAHINIWA 831,015 leo Jumatatu wameanza rasmi mtihani wa Kidato cha Nne (KCSE) kote nchini, huku serikali ikiahidi...

WANDERI KAMAU: Waliofanya KCSE wazingatie nidhamu kufaulu maishani

Na WANDERI KAMAU N ILIPOMALIZA Mtihani wa Kidato cha Nne (KCSE) zaidi ya miaka kumi iliyopita, nilihisi kama ningeibuka mwanafunzi bora...

Ajabu ya shule moja kuandikisha ‘E’ kwenye masomo yote ya sayansi

Na WYCLIFFE NYABERI KARIBU watahiniwa wote walipata alama ya ‘E’ katika masomo ya sayansi kwenye shule moja Kaunti ya...

BENSON MATHEKA: Serikali iweke sera kulinda watoto wenye mahitaji maalum

Na BENSON MATHEKA MATOKEO ya mwaka jana ya mitihani ya darasa la nane (KCPE) na kidato cha nne KCSE yameonyesha kuwa watoto walio na...

28,000 waliozoa ‘E’ KCSE bado wana fursa ya kufanikwa maishani

Na Faith Nyamai ZAIDI ya watahiniwa 28,000 walipata alama ya ‘E’ kwenye matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne (KCSE) mwaka...

KCSE: Tana River yachechemea

Na STEPHEN ODUOR KAUNTI ya Tana River imekamilisha miaka 30 bila kuwa na mtahiniwa yeyote wa Mtihani wa Kitaifa wa Shule za Upili (KCSE)...

Waibuka wa kwanza Nyeri licha ya kuwa ni zeruzeru

Na IRENE MUGO WANAFUNZI wawili wa kike zeruzeru kutoka familia moja ni kati ya waliong’aa katika mtihani wa KCSE mwaka jana na mwaka...

Waliong’aa KCSE wasimulia madhila waliyopitia

GEORGE ODIWUOR, SHABAN MAKOKHA, EVANS KIPKURA na MANASE OTSIALO BAADHI ya wanafunzi waliong'aa kwenye mtihani wa KCSE mwaka jana...

KENYA HIGH JUU

Na WANDERI KAMAU SHULE ya Upili ya Wasichana ya Kenya High, katika Kaunti ya Nairobi, jana iliibuka ya kwanza kwenye matokeo ya Mtihani...

Historia matokeo yakitua siku 3 baada ya usahihishaji

Na Benson Matheka HISTORIA iliandikishwa jana baada ya matokeo ya mtihani wa kidato cha nne (KCSE) kutolewa siku tatu baada ya zoezi la...

Wasichana wazidi idadi ya wavulana katika KCSE Kwale

Na Valentine Obara KAUNTI ya Kwale ni miongoni mwa kaunti 15 kitaifa zilizokuwa na pengo kubwa la idadi ya wasichana kuliko wavulana...