• Nairobi
  • Last Updated May 24th, 2024 12:26 PM

‘Wasanii Wazoefu’ mboni ya sanaa chuoni Gretsa, Thika

Na CHRIS ADUNGO KATIKA jitihada za kujiboresha na kujiimarisha kielimu pamoja na masuala yasiyo ya kiakademia, Chuo Kikuu cha Gretsa...

Chama cha Kiswahili shuleni Kitengela International ni mwale thabiti wa lugha

Na CHRIS ADUNGO CHAMA cha Kiswahili katika Shule ya Msingi ya Kitengela International eneo la Syokimau, kilianzishwa kwa malengo ya...

Museveni ataka nchi zote za Afrika zitumie Kiswahili

Na MASHIRIKA RAIS wa Uganda Yoweri Museveni ameyataka mataifa ya Bara Afrika yatumie lugha ya Kiswahili kudhihirisha umoja wao badala ya...

NMG yatenga siku ya matumizi ya Kiswahili mara moja kila mwezi

Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya habari ya Nation Media Group imeimarisha juhudi zake za kukuza matumizi ya Kiswahili kwa kutenga siku moja...

Hakimu atoa uamuzi wake kwa Kiswahili sanifu

Na BRIAN OCHARO HAKIMU wa Mahakama wa Shanzu, Mombasa ameweka historia mpya kwa kutoa uamuzi wa kesi kwa kutumia lugha ya...

GWIJI WA WIKI: Mhadhiri, mkalimani na mtafsiri anavyochangia kwa makuzi ya Kiswahili

Na WINNIE A ONYANDO Lugha sio tu chombo cha mawasiliano bali ni malighafi na rasilimali ya jamii ambayo inapaswa kutumiwa kujikuza,...

WANDERI KAMAU: Buriani mhariri wetu mahiri Mauya Omauya

Na WANDERI KAMAU HUJAMBO msomaji? Kwa kawaida, nafasi hii huwa ya mwandishi Mauya Omauya kila Ijumaa, ambapo huwa anaandika makala...

Matokeo ya somo la Kiswahili yaimarika pakubwa

Na LEONARD ONYANGO WATAHINIWA walifanya vyema katika somo la Kiswahili kwenye Mtihani wa Darasa la Nane (KCPE) wa mwaka huu...

Watanzania mitandaoni wawafafanulia Wakenya maana ya neno ‘bibi’

Na MARY WANGARI   WAKENYA Jumatatu wameungana na jamii ya kimataifa kumboleza kifo cha Mama Sara Obama kwa kutuma risala zao za...

Amevutia Wakenya kwa kuongea Kiswahili sanifu

Na CHRIS WAMALWA DELAWARE, Amerika MSIMAMIZI wa mji wa New Castle, jimbo la Delaware nchini Amerika, Bw Matthew Meyer, ameibuka kuwa...

Faki ataka nakala za BBI kwa Kiswahili

Na WACHIRA MWANGI SENETA wa Mombasa Mohamed Faki ameitaka serikali ichapishe nakala ya mswada wa ripoti ya Jopokazi la Maridhiano (BBI)...

Muda uliosalia kabla ya mtihani wa kitaifa unatosha kujiandaa

MTIHANI huzua changamoto kwa yeyote anayepania kuufanya. Nakisia ni kwa sababu ya ushindani unaohusishwa nao, hasa nchini mwetu. Aghalabu...