• Nairobi
  • Last Updated February 23rd, 2024 12:48 PM

KINYUA BIN KINGORI: Rais ni kiongozi wa Wakenya wote si jamii au eneo lake

Na KINYUA BIN KINGORI WAKATI huu viongozi wa kisiasa wameanza mapema kampeni zao kwa kuzuru maeneo mbalimbali nchini, ili kushawishi...

WANDERI KAMAU: Tuchunge ndimi zetu tunapoelekea 2022

Na WANDERI KAMAU KULINGANA na Ripoti ya Jaji Mstaafu Akilano Akiwumi (1997) kuhusu chimbuko la ghasia za kikabila nchini, wanasiasa ndio...

WARUI: Tuzo ya Nobel ya Abdulrazak ushindi kwa elimu Afrika

Na WANTO WARUI KWA mara nyingine tena tuzo inayoenziwa sana kote ulimwenguni imerudi katika eneo letu la Afrika Mashariki mara hii...

MUTUA: Mwafrika amejihini na kujitweza mwenyewe

Na DOUGLAS MUTUA MWAFRIKA akiwajibishwa na Mzungu hupiga kamsa na kudai anaonewa, ati msingi wa maonevu ni ubaguzi wa rangi...

KAMAU: Kenya iziige nchi nyingine duniani kulinda tamaduni zake

Na WANDERI KAMAU MOJA ya changamoto kuu zinazokikumba kizazi cha sasa nchini ni ukosefu wa ufahamu wa lugha zao asili. Ingawa lugha...

KINYUA BIN KING’ORI: Vita dhidi ya jinamizi la ufisadi viendeshwe bila ubaguzi

Na KINYUA BIN KINGORI JUHUDI za kuhakikisha taifa limefanikiwa kupiga vita ufisadi lazima ziendeshwe kuambatana na Katiba, bila njama...

KAMAU: Tamaa imegeuza Afrika kuwa ‘soko la utumwa’

Na WANDERI KAMAU UFICHUZI wa sakata ambapo watu maarufu duniani wamekuwa wakificha mabilioni ya fedha katika akaunti za siri ng’ambo...

NGILA: Kupotea kwa huduma za Facebook kuwe funzo

Na FAUSTINE NGILA NINA imani kuwa iwapo kufikia sasa hujawahi kuelewa teknolojia ya blokcheni, leo utaelewa kwa kuwa jana uliathirika...

WASONGA: Vijana wahimizwe kujisajili kwa miradi ya kuwanufaisha

Na CHARLES WASONGA NI jambo la kusikitisha kuwa ni wakati kama huu ambapo uchaguzi mkuu unakaribia ndipo wanasiasa wametambua umuhimu wa...

WANGARI: Mikakati yahitajika kupunguza mzigo wa matibabu nchini

Na MARY WANGARI IDADI ya watu wanaoandaa hafla za uchangishaji pesa za kugharamia matibabu imeongezeka pakubwa katika siku za hivi...

ODONGO: Kanu ina kibarua kurejelea umaarufu wake wa awali

Na CECIL ODONGO CHAMA cha Kanu bado kina safari ndefu kurejelea umaarufu wake wa enzi za utawala wa chama kimoja na miaka ya 90 hata...

WASONGA: Chiloba, wenzake wasaidie IEBC kufanikisha kura 2022

Na CHARLES WASONGA UTEUZI wa waliokuwa maafisa wanne wa ngazi za juu katika Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kushikilia nyadhifa...