• Nairobi
  • Last Updated April 20th, 2024 10:55 AM

WARUI: Wazazi watumie fursa ya likizo kunasihi watoto wao

Na WANTO WARUI VISA vya utovu wa nidhamu na vile vya wanafunzi kutaka kujitoa uhai vimekuwa vingi sana siku hizi. Huku visa vya...

KAMAU: Ni aibu kuwatelekeza mashujaa waliopigania uhuru

Na WANDERI KAMAU KULINGANA na majarida mbalimbali ya historia, vita vya Maumau ni miongoni wa harakati zinazotambulika duniani kote...

MUTUA: Wakenya walio ng’ambo wana haki ya kupiga kura

Na DOUGLAS MUTUA NILICHEKA kidogo kisha nikakereka kweli-kweli hivi majuzi kutokana na matamshi ya mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi...

WASONGA: Wabunge wapiganie kurejea kwa bei nafuu

Na CHARLES WASONGA KWA mara nyingine Spika wa Bunge la Kitaifa, Justin Muturi na wabunge wameamua kuwachezea shere Wakenya kuhusiana na...

KINYUA BIN KING’ORI: Masharti ya wandani kisiki kwa ‘handisheki’ ya UhuRuto

Na KINYUA BIN KINGORI JUHUDI zilizoanzishwa na viongozi wa makanisa kupatanisha Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake Dkt William Ruto,...

KAMAU: Mizozo UoN inatishia ndoto za vijana wetu

Na WANDERI KAMAU MOJA ya ndoto zangu za utotoni ilikuwa kusomea katika Chuo Kikuu cha Nairobi. Ingawa ndoto za utotoni hubadilika...

NGILA: Teknolojia mpya ya mbegu sawa ila wapi hamasisho?

Na FAUSTINE NGILA WIKI iliyopita nilihudhuria uzinduzi wa ripoti kuhusu hali ya kilimo barani Afrika ambapo matokeo ya utafiti...

WANGARI: Elimu ya juu iwekeze zaidi katika ujuzi wa kiufundi na kitaaluma

Na MARY WANGARI WATAHINIWA waliokamilisha mitihani yao ya Cheti cha Elimu ya Sekondari Nchini (KCSE) wataanza kujiunga na taasisi za...

WARUI: Tukumbatie changamoto za CBC ili utekelezaji uwe rahisi

Na WANTO WARUI MFUMO mpya wa Elimu (CBC) ambao kwa sasa umefika Gredi ya 5 bado haujapokelewa vyema na asilimia kubwa ya...

STEPHEN JACKSON: Mifumo thabiti ya lishe kufaa uchumi na kukabiliana na njaa

Na Dkt STEPHEN JACKSON NI mara chache ambapo sisi hufikiria kuhusu kinachohitajika ili chakula tunachokula kifike kwenye sahani...

KAMAU: Mapinduzi yanatoa dalili Afrika imeshindwa kujitawala

Na WANDERI KAMAU JE, huenda lilikuwa kosa kwa baadhi ya nchi za Afrika kupewa uhuru na wakoloni? Pengine hilo ndilo swali linaloweza...

MUTUA: Tunashangilia madikteta wakipinduliwa ila ipo hofu

Na DOUGLAS MUTUA KIMOJA kati ya vichekesho ambavyo vimetokea kuvutia sana kwenye mitandao ya kijamii ni picha za watu wakiigiza jeshi la...