• Nairobi
  • Last Updated December 5th, 2023 10:25 PM

Babu, 93 ashinda vijana kwa mistari, aoa mke wa umri wa miaka 19

Na STEPHEN ODUOR MWANADADA mwenye umri wa miaka 19, ameshangaza wanakijiji wa Mataarba, kaunti ndogo ya Tana Delta baada ya kuamua...

Lusaka akiri kuwa katika uhusiano wa kimapenzi na aliyemshtaki

Na Joseph Wangui SPIKA wa Bunge la Seneti Kenneth Lusaka amekiri kuwa katika uhusiano wa kimapenzi na mwanamke ambaye aliekea kortini...

WINNIE ONYANDO: Simu ya mwenzio sumu

Na WINNIE ONYANDO Simu ni gajeti ndogo ila huweza kusababisha mengi kati ya wapendanao. “Mke wangu anashinda kwa simu kila mara,...

Mwalimu amkata mwenzake wakipigania msichana wa chuo

Na GEORGE MUNENE POLISI katika Kaunti ya Kirinyaga wanamzuilia mwalimu aliyemjeruhi mwenzake kwa kutumia upanga mnamo Jumanne, kwenye...

Shinikizo mbunge amlipe mpenzi wa zamani Sh200,000 kila mwezi

Na RICHARD MUNGUTI MBUNGE wa Ikolomani Bw Bernard Masaka Shinali ameshtakiwa na mwanamke anayedai alipata mtoto naye. Mwanamke huyo Ms...

Mchecheto mitandaoni Karen Nyamu akijaribu kumnasa Samidoh

Na SAMMY WAWERU Mwanamuziki tajika wa nyimbo za Benga kwa lugha ya Agikuyu, Samuel Muchoki maarufu kama Samidoh amejipata kwenye njia...

FUNGUKA: Msisimko wangu wa mahaba hutokana na kutazama panya!

NA PAULINE ONGAJI Katika ulimwengu huu wa mambo tofauti, bila shaka hata binadamu hakuna anayefanana na mwenziwe, iwe kimaumbile au...

Ndani miaka 10 kwa kumuumiza mpenziwe

Na RICHARD MUNGUTI MWANAUME aliyemdunga kisu mpenziwe mara tano kwa vile alikuwa “ametalikiwa” atakula maharage miaka 10 kwa...

CHOCHEO: Hadaa ya mapenzi huja na kilio

NA BENSON MATHEKA Baada ya kuchumbiana kwa miaka mitatu, Kamau alimtaka Ciru ampeleke kwao wakapate baraka za wazazi wake ili wafanye...

FUNGUKA: Utamu wa ubuyu ni ladha tofauti

NA PAULINE ONGAJI  Inapowadia katika masuala ya mapenzi, mara nyingi jamii inamtarajia mtu kuwa na mpenzi mmoja. Lakini kuna wale...

K’Osewe alidai nilichovya asali ya mkewe, mshtakiwa wa jaribio la mauaji afichua kortini

Na RICHARD MUNGUTI AFISA wa mauzo katika kampuni moja ya utalii alijipata taabani kutokana na kinywa chake kilichojaa matusi na majivuno...

FATAKI: Nani kasema mwanamke hana haki ya kukata kiu ya mahaba?

NA PAULINE ONGAJI Siku chache zilizopita, rafiki yetu alitusimulia jinsi katika mojawapo ya ziara zake sehemu fulani nchini,...