• Nairobi
  • Last Updated December 5th, 2023 10:25 PM

Wakili wa Serikali aagiza Miguna aruhusiwe kurudi

Na WANDERI KAMAU WAKILI Mkuu wa Serikali, Bw Ken Ogeto, ameziagiza wizara za Mashauri ya Kigeni na Usalama wa Ndani kuhakikisha wakili...

Miguna adai balozi alipuuza amri ya korti

Na RICHARD MUNGUTI WAKILI Miguna Miguna jana alilalama vikali kwamba, Ubalozi wa Kenya nchini Ujerumani ulimnyima stakabadhi za usafiri...

Miguna Miguna adai serikali imemzuia kurejea nchini

Na CHARLES WASONGA WAKILI Miguna Miguna sasa anadai kuwa serikali imemzuia kurejea nchini kwa kuagiza mashirika ya ndege ya kigeni...

Pigo kwa Serikali korti ikiruhusu Miguna kurejea

Na RICHARD MUNGUTI SERIKALI imepata pigo tena baada Mahakama ya Rufaa kuruhusu mwanaharakati, na wakili mbishi, Dkt Miguna Miguna...

Miguna aahidi kuzima ufisadi Nairobi

Na CHARLES WASONGA MWANASHERIA mbishani anayeishi uhamishoni Miguna Miguna ametangaza kuwa atawania kiti cha ugavana wa Nairobi katika...

Miguna amezea ugavana Nairobi licha ya visiki

NA WANGU KANURI WAKILI mbishi aliyenyimwa kibali cha kuingia nchini Kenya, Dkt Miguna Miguna, ametangaza kuwa atawania kiti cha ugavana...

Miguna awajibu watumiaji mitandao ya kijamii kuhusu mwonekano wake wa ‘kukonda’

Na MARY WANGARI MWANASIASA aliyefurushwa nchini Miguna Miguna amefungua moyo kufuatia hisia za baadhi ya watumiaji wa mitandao ya...

Miguna adai amezuiwa kuabiri ndege ya kutoka Frankfurt hadi Nairobi

Na IBRAHIM ORUKO WAKILI Miguna Miguna ambaye anatarajiwa Kenya baada ya kukaa nchini Canada kwa muda karibu ya mwaka mmoja amedai kwamba...

Serikali yasema haitarajii drama kurejea kwa Miguna Miguna

Na MARY WAMBUI SERIKALI imekariri kwamba hakutarajiwa drama na mvutano wowote wakili Miguna Miguna akitarajiwa kutua nchini Kenya...

Miguna aitaka Jubilee imuombe radhi mara 21!

Na VALENTINE OBARA MWANAHARAKATI wa upinzani aliyetimuliwa nchini na Serikali ya Jubilee, Dkt Miguna Miguna sasa anataka serikali...

Mahakama yaagiza Matiang’i na Kihalangwa wamlipe Miguna Sh7 milioni

Na RICHARD MUNGUTI MWANASHERIA mbishi Dkt Miguna Miguna aliyefurushwa kutoka humu nchini Mnamo Machi 29, 2018 atalipwa fidia ya Sh7...

MIGUNA MIGUNA: Ajipiga kifua kisha kukunja mkia na kusalia Canada

Na WYCLIFFE MUIA MWANASIASA na wakili mbishi aliyefurushwa nchini, Dkt Miguna Miguna alikunja mkia kuhusu kurejea Kenya Jumatano licha...