• Nairobi
  • Last Updated May 24th, 2024 12:59 PM

PSG, Bayern na Juve zatamba Barca ikizidi kusuasua ligini

Na MASHIRIKA NEYMAR Jr alipachika wavuni mabao mawili na kusaidia waajiri wake Paris Saint-Germain (PSG) kufungua mwanya wa alama 10...

Presha kwa Solskjaer miti ya Man-Utd ikizidi kuteleza

Na MASHIRIKA KIUNGO Paul Pogba amesema Manchester United wana ulazima wa “kubadilisha mbinu zao za kutandaza soka” iwapo wana ndoto ya...

DIMBA: Kiganjo Kings wanatambua bidii ya mchwa itawajenga

Na JOHN KIMWERE CHANGAMOTO zimekuwa chungu nzima, lakini hazijazuia wachezaji wa Kiganjo Kings kutia bidii, kwani lengo lao ni kutua...

Dandora Youth FC yadhaminiwa kwa Sh2 milioni

Na GEOFFREY ANENE KLABU ya Dandora Youth kutoka ligi ya daraja ya tano ya Shirikisho la Soka Kenya (FKF), imejawa motisha ya kutafuta...

Wasichana 4 wa Taita Taveta wapata udhamini wa mafunzo ya riadha

NA ABDULRAHMAN SHERIFF WASICHANA wanne, watatu wanafunzi wa shule za upili na mwingine wa shule ya msingi kutoka Kaunti ya Taita...

Amerika yapepeta Mexico kwenye fainali ya Concacaf Nations League

Na MASHIRIKA TAFSIRI NA: CHRIS ADUNGO KIUNGO wa Chelsea, Christian Pulisic, alifunga bao katika dakika za mwisho na kusaidia timu...

Chipu wakamilisha kambi ya mazoezi ya Kombe la Afrika

Na GEOFFREY ANENE TIMU ya Kenya ya raga ya wanaume ya wachezaji 15 kila upande ya wachezaji wasiozidi umri wa miaka 20 maarufu kama...

Mwanariadha mkimbizi Mkongo aliyekimbia kutoka Nairobi hadi Mombasa apokelewa kishujaa

Na GEOFFREY ANENE MKIMBIAJI mkimbizi Francois Msafiri amepokea mapokezi ya kishujaa mtaani mwake Syokimau baada ya kukamilisha mbio za...

Vissel Kobe inayoajiri Mkenya Masika iko mguu mmoja nje ya Kombe la Levain, imepigwa Jumapili

Na GEOFFREY ANENE VISSEL Kobe anayochezea Ayub Masika inakodolea macho kubanduliwa kwenye kipute cha Levain Cup baada ya kupoteza mechi...

Kiungo na nahodha wa Ghana, Andre Ayew, kuagana na Swansea City mwisho wa Juni 2021

Na MASHIRIKA TAFSIRI NA: CHRIS ADUNGO KIUNGO mvamizi Andre Ayew, 31, ataagana na Swansea City mwishoni mwa Juni 2021 baada ya mkataba...

Mogotio United yazidi kung’aa

NA RICHARD MAOSI KIKOSI cha Mogotio United kinajivunia wachezaji mahiri ambao wanasakata soka katika kiwango cha Kaunti ya Baringo...

BETWAY CUP: Congo Boys wangali wataka kucheza na Gor uwanja wao wa Serani

NA ABDULRAHMAN SHERIFF CONGO Boys FC inaonelea fahari kuu ikiwa timu kubwa mbili za hapa nchini, Gor Mahia na AFC Leopards zitacheza mechi...