• Nairobi
  • Last Updated May 22nd, 2024 6:07 PM

Sonko azimwa kurusha video za Kananu

Na RICHARD MUNGUTI ALIYEKUWA Gavana wa Nairobi Mike Sonko Mbuvi Ijumaa alizimwa na mahakama kupeperusha katika mitandao ya kijamii video...

Mawakili wamtoroka Sonko ‘apambane na hali yake’

Na RICHARD MUNGUTI KUNDI jipya la mawakili sita waliokuwa wanamwakilisha aliyekuwa gavana wa Nairobi Bw Mike Sonko Jumanne walijiondoa...

Sonko anaugua maradhi ya ubongo na moyo, hawezi kuendelea na kesi – Mahakama

Na RICHARD MUNGUTI RIPOTI ya daktari wa tiba za akili imesema Alhamisi kuwa aliyekuwa gavana wa Nairobi Mike Sonko anaugua maradhi ya...

Sonko kuendelea kukaa hospitalini

Na RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA ilielezwa jana kuwa aliyekuwa gavana wa Nairobi Mike Sonko angali amelazwa katika Nairobi Hospital...

Sonko adai kuna mtu alitaka kumdunga sindano ya sumu

Na RICHARD MUNGUTI UFICHUZI wa aliyekuwa gavana wa Nairobi Mike Sonko kwamba mtu aliingia kwenye seli anamozuiliwa katika kituo cha...

JAMVI: Sonko alivyojipalia makaa mwenyewe

Na BENSON MATHEKA Aliyekuwa Gavana wa Nairobi, Bw Mike Sonko anajuta kwa vitendo alivyofanya akiwa mamlakani; akiepuka kuadhibiwa kwa...

Koma kulia, pambana kama mwanamume, hakimu amwambia Sonko

Na RICHARD MUNGUTI KAMA kuna wakati wenye changamoto tele kwa aliyekuwa gavana wa Nairobi Mike Sonko ni sasa. Maji yalizidi unga hata...

Sonko hatarini kushtakiwa kwa madai ya ugaidi

Na RICHARD MUNGUTI MASAIBU ya aliyekuwa gavana wa Nairobi, Bw Mike Sonko, yaliongezeka Jumatano ilipofichuka kuwa serikali inapanga...

Sonko aangua kilio kortini, adai kuna jaribio la kumuua

Na RICHARD MUNGUTI ALIYEKUWA Gavana wa Nairobi, Mike Sonko aliangua kilio kortini Jumatano wakati wa kusikizwa kwa kesi ya ufisadi wa...

Arati, Osoro, Ng’eno na Sonko kuzimwa kuwania viti vya kisiasa

Na CHARLES WASONGA WANASIASA na watu ambao majina yao yatawekwa katika orodha ya aibu ya Tume ya Uwiano na Utangamano ya Kitaifa (NCIC)...

Masaibu ya Sonko yazidi huku kesi zikifufuliwa

BENSON MATHEKA na SIMON CIURI Masaibu ya aliyekuwa Gavana wa Nairobi, Mike Sonko yaliendelea kuongezeka jana alipozuiliwa rumande baada...

Sonko atupwa ndani siku tatu

Na RICHARD MUNGUTI MASAIBU ya aliyekuwa Gavana wa Nairobi Mike Sonko Mbuvi Gidion Kioko yameongezeka baada ya  kusukumwa ndani hadi...