• Nairobi
  • Last Updated June 12th, 2024 4:24 PM

TAHARIRI: KCPE: Serikali itatue lalama kuhusu matokeo

NA MHARIRI BAADHI ya shule nchini zimejitokeza na kupinga matokeo ya Mtihani ya Darasa la Nane (KCPE) yaliyotangazwa Jumatano na Waziri...

TAHARIRI: Usimamizi wa fedha za kaunti ukazwe zaidi

NA MHARIRI SERIKALI za kaunti zitalazimika kutafuta mbinu za usimamizi wa fedha iwapo magavana wanataka kujitolea kutimiza ahadi zao kwa...

TAHARIRI: Bunge lirudishe mswada kuhusu utoaji, uhifadhi wa damu nchini

NA MHARIRI KILA Juni 14, ulimwengu huadhimisha Siku ya watu kuchangia damu duniani. Mwaka huu, kaulimbiu ilikuwa “Utoaji damu ni suala...

TAHARIRI: Panayo haja ya Rais Ruto kuunganisha Wakenya wote

NA MHARIRI UCHAGUZI mkuu wa Agosti 9 ulikuwa wa kipekee kwa jinsi ulivyokuwa na ushindani mkali kuliko mwingineo wowote ambao umewahi...

TAHARIRI: Naam, sekta ya viwanda ipewe uzito

NA MHARIRI MNAMO Ijumaa Rais William Ruto alipozuru eneo la Magharibi mwa Kenya, alisisitiza ahadi yake ya kuhakikisha kuwa viwanda vya...

TAHARIRI: Si busara serikali kurudisha ada za benki kwa wateja watumiao simu

NA MHARIRI TANGAZO la Benki Kuu ya Kenya (CBK) kwamba wateja wataanza kutozwa ada ya kutoa pesa kutoka kwa benki hadi simu zao linajiri...

TAHARIRI: Bajeti za kaunti zizingatie pia maoni ya umma

NA MHARIRI RIPOTI ya Mkaguzi wa Hesabu za Serikali inayoonyesha kuwa mabunge ya kaunti yanapitisha bajeti kiholela bila kuhusisha...

TAHARIRI: Muda mfupi wa kulipa Hustler Fund hakika haufai

NA MHARIRI MKOPO wa Hustler Fund ulioanza kutolewa kwa wananchi wenye uwezo mdogo kimapato mnamo Jumatano huenda usiwafaidi raia jinsi...

TAHARIRI: Serikali iwapatie mafunzo mahasla watakaokopa pesa za Hustler Fund

NA MHARIRI UZINDUZI wa Hazina ya Hustler jana Jumatano sasa unawapa matumaini mamia ya mama mboga, wanabodaboda na wafanyibiashara ndogo...

TAHARIRI: GMO: Serikali ielimishe wananchi kuondoa dukuduku

NA MHARIRI HATUA ya serikali kuondoa marufuku dhidi ya mahindi ya GMO imezua mjadala mkali nchini. Suala la GMO limetekwa nyara na...

TAHARIRI: Serikali ieleze iwapo kuna ongezeko la maambukizi ya Covid-19

NA MHARIRI KWA wiki chache sasa, kumekuwa na wasiwasi katika baadhi ya sehemu za nchi kuhusu homa ambayo inaonekana kuenea kwa...

TAHARIRI: Wabunge wasitishe ulafi, wajali waathiriwa wa ukame

NA MHARIRI RIPOTI kwamba wabunge, kupitia Tume ya Huduma ya Bunge (PSC), wanataka kushinikiza Tume ya Mishahara na Marupurupu (SRC)...