• Nairobi
  • Last Updated December 2nd, 2023 1:45 PM

Shaffie Weru sasa afukuza Sh21 milioni akidai alipigwa kalamu kupitia WhatsApp

NA MWANGI MUIRURI Aliyekuwa Mtangazaji wa kituo vcha Radio cha Homeboyz Shaffie Weru, amezindua harakati za kuvuna Sh21 Milioni kutoka...

Kiwanda chatimua watu 280

 Na STEVE NJUGUNA USIMAMIZI wa kiwanda cha maziwa cha Nyahururu, Alhamisi uliwafuta wafanyakazi 280. Hatua hiyo kulingana na...

Hoja ya kumtimua Ruto ni njama ya Raila kuwa Naibu Rais – Jubilee

Na CHARLES WASONGA WABUNGE 15 wa Jubilee wameshutumu kiongozi wa ODM Raila Odinga wakidai ndiye anamchochea Seneta wa Siaya James Orengo...

WASONGA: Uhuru anasubiri nini kutimua wafisadi serikalini?

Na CHARLES WASONGA SERIKALI ya Jubilee imekuwa ikijidai kuwa inaongozwa na kauli mbiu ya "Kusema na Kutenda" katika utendakazi wake...

Wabunge walalamikia kuachwa kwa mabwanyenye ndani ya Mau walalahoi wakifurushwa

Na Anita Chepkoech WABUNGE wawili wa Jubilee wamelaumu serikali kwa kufurusha maskini kutoka Msitu wa Mau na kuwaacha...

Minnaert afurushwa Rwanda kwa matokeo ya aibu

Na CECIL ODONGO ALIYEKUWA kocha AFC leopards Ivan Minnaert ametimuliwa na waajiri wake Klabu ya Rayon Sports ya Rwanda kufuatia misururu...

SAKATA YA NYS: Wabunge wa Jubilee na Nasa wataka Waziri Kariuki ang’atuliwe

Na CHARLES WASONGA WABUNGE watano Alhamisi walimtaka Waziri wa Afya Bi Sicily Kariuki ajiuzulu la sivyo watamtimua afisini kuhusiana na...

Sonko amtimua waziri kwa kusafiri bila ruhusa yake

Na COLLINS OMULO GAVANA wa Nairobi Mike Sonko amemtimua Waziri wa Ugatuzi wa kaunti, Bi Vesca Kangogo (pichani kushoto) kwa kusafiri...

Gavana Njuki ashtakiwa kwa kutimua wafanyakazi

[caption id="attachment_4818" align="aligncenter" width="800"] Wakili Davidson Warutere (kati) na wafanyakazi waliofutwa katika kaunti ya...

Pasta ashangaza kuomba waumini idhini afurushe mkewe

Na TOBBIE WEKESA KABATI, MURANG'A PASTA wa kanisa moja la hapa aliwaacha wengi vinywa wazi alipowaomba ruhusa waumini ili amtimue mke...

Wakenya wengine 20 watimuliwa Amerika

Na MWANDISHI WETU WAKENYA 20 ni miongoni mwa watu 100 waliofurushwa Marekani kutokana na swala tata la wahamiaji haramu huku wengine...

Buda afurusha bintiye kwa kuvaa suruali ya kubana

Na TOBBIE WEKESA KIZAAZAA kilizuka katika boma moja la hapa baada ya mzee kumtimua binti yake alipofika nyumbani kutoka chuoni akivalia...