• Nairobi
  • Last Updated April 28th, 2024 10:48 AM

Wakenya ‘wasukuma’ juu bei ya mafuta TZ

Na IAN BYRON MADEREVA kutoka Kenya ambao wamekuwa wakikimbia nchini Tanzania kununua mafuta, walishtuka baada ya vituo vya kuuza petroli...

Watanzania wawili kizimbani kwa shtaka la kuiba chupi

Na Richard Munguti RAIA wawili kutoka Tanzania wameshtakiwa kuiba chupi za wanawake za thamani ya Sh43,000. Koduruni Laano almaarufu...

Kibarua kwa Rais Suluhu joto la kudai katiba mpya likiongezeka

Na MWANDISHI WETU DAR ES SALAAM, Tanzania UPINZANI nchini Tanzania sasa unadai kuwa viongozi 41 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

Rais Suluhu, SADC waomboleza kifo cha waziri wa ulinzi wa TZ

NA AFP RAIS Samia Suluhu Hassan jana alituma risala za rambirambi kufuatia kifo cha Waziri wa Ulinzi na Huduma za Kitaifa, Elias...

Tanzania mbioni kuunda chanjo yake ya corona

Na MWANDISHI WETU TANZANIA imeanza mchakato wa kutengeneza chanjo ya virusi vya corona ili kupunguza gharama ya kuiagiza kutoka nje ya...

Serikali ya TZ sasa yaweka mitambo ya oksijeni hospitalini

Na Mashirika TANZANIA imeweka mitambo ya kuzalisha oksijeni katika hospitali zake za kitaifa kuwasaidia katika matibabu ya wagonjwa wa...

SULUHU APATA MPANGO TZ

NA MASHIRIKA RAIS mpya wa Tanzania Samia Suluhu alimteua Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Isdor Mpango kuwa makamu wake. Waziri...

Magavana Kenya wamwomboleza Rais Magufuli

WANGU KANURI NA SAMMY WAWERU BARAZA la Magavana nchini Kenya Alhamisi limetuma risala za rambirambi kumwomboleza Rais John Magufuli wa...

Magufuli bado yuko mteja

Na AFP SERIKALI ya Tanzania imeendelea kukataa kusema aliko Rais John Magufuli, siku 18 baada ya kiongozi huyo kuonekana...

Polisi waendelea kukamata wanaodai Magufuli anaugua

Na WAANDISHI WETU POLISI nchini Tanzania wamezidisha msako dhidi ya raia wanaoeneza uvumi kuhusu hali ya afya ya Rais John Pombe...

Udikteta ulivyolemaza vita dhidi ya corona Tanzania

Na MWANDISHI WETU Mwezi Februari nilisafiri kutoka Uropa hadi Dar es Salaam, Tanzania. Ilikuwa ni safari ya kikazi ambayo pia...

TZ yapuuza madai hospitali zimelemewa na wagonjwa wa corona

NA AFP SERIKALI ya Tanzania imekanusha vikali habari zinazoenezwa katika mitandao ya kijamii kwamba hospitali za nchi hiyo zimeshindwa...