• Nairobi
  • Last Updated December 3rd, 2023 6:00 PM

BI TAIFA MACHI 27, 2021

Marylene Watiri mwenye umri wa miaka 22 ni mtaalam wa Beauty Therapy jijini Nairobi, aidha yeye ni mwanamitindo na mlimbwende.Uraibu wake...

BI TAIFA MACHI 26, 2021

Zaweria Njoki mwenye umri wa miaka 21 ni Video Vixen kutoka kaunti ya Nakuru.Uraibu wake ni kuandika makala ya kitaaluma na kujumuika na...

BI TAIFA MACHI 25, 2021

Malkia wetu leo ni  Babra Ingasiani mwenye umri wa miaka 21, yeye ni mzaliwa wa kaunti ya Kakamega.Uraibu wake ni kusakata densi ya...

BI TAIFA MACHI 24, 2021

Pauline Kimani mwenye umri wa miaka 23 ndiye anatupambia jarida letu leo.Yeye ni mkaazi wa eneo la Lanet na mfanyikazi mjini Nakuru.Uraibu...

BI TAIFA MACHI 23, 2021

Sayfer Godez ni mkaazi wa Nakuru .Anapenda kushiriki kwenye majukwaa ya mapambo na urembo.Uraibu wake ni kusafiri na kujumuika na...

BI TAIFA MACHI 22, 2021

Sylvia Wangeci 23 ni mzaliwa wa Molo, na mwanafunzi katika Chuo Kikuu Cha MKU tawi la Nakuru.Uraibu wake ni kusafiri na...

BI TAIFA MACHI 21, 2021

Mical Abulatsia Imbukwa, 28, ni mwanahabari katika shirika moja jijini Nairobi. Uraibu wake ni kutazama filamu za Afro sinema na kujumuika...

BI TAIFA MACHI 20, 2021

Faith Karungari mwenye umri wa miaka 22 ni mwanafasheni na mwanamitindo maarufu kutoka Nakuru.Uraibu wake ni kuogelea na kusikiliza muziki...

BI TAIFA MACHI 19, 2021

Joan Macharia 24 ni mwanafunzi wa Cabin crew aviation.Anapenda kushiriki kwenye majukwaa ya urembo na kutunza wanyama aina ya...

BI TAIFA MACHI 18, 2021

Joan Macharia ,24, ni mwanafunzi wa Cabin Crew Aviation. Anapenda kushiriki kwenye majukwaa ya urembo na kutunza wanyama aina ya...

BI TAIFA MACHI 17, 2021

Bi Miriam Amani Nduku 23, ni mwanamitindo na mwigizaji wa filamu kutoka Nakuru Arts Theatre.Uraibu wake ni kusafiri na kuandika michezo ya...

BI TAIFA MACHI 16, 2021

Esther Wanjiru 22 ndiye mgeni wetu leo yeye ni mwanafasheni na mkaazi wa mtaa wa Barnabas eneo la Lanet.Uraibu wake ni kuogelea na...