• Nairobi
  • Last Updated March 5th, 2024 12:43 PM

BI TAIFA MACHI 15, 2021

Jill Amondi mwenye umri wa miaka 21 ni mwanamitindo wa Beauty Therapy.Yeye ni mkaazi wa eneo la Ngata kaunti ya Nakuru.Uraibu wake ni...

BI TAIFA MACHI 14, 2021

Shalon Faith  20 ni mwanafuzni wa Cabin Crew kutoka Nairobi Aviation.Kwa sasa anajihusisha na maonyesho ya urembo jijini Nakuru.Uraibu...

BI TAIFA MACHI 13, 2021

Lilian Njeri mwenye umri wa miaka 21 ndiye anatupambia jarida letu leo.Yeye ni mwanamitindo na mkaazi wa Narok.Uraibu wake ni kusafiri na...

BI TAIFA MACHI 12, 2021

Daisy Candy Mabeya mwenye umri wa miaka 23 ni mwanafasheni na mwanamitindo kutoka kaunti ya Nakuru.Uraibu wake ni kuimba na kucheza...

BI TAIFA MACHI 11, 2021

Malkia wetu  Mary Marie mwenye umri wa miaka 24 ni mzaliwa wa eneo la Lanet kaunti ya Nakuru, yeye ni mwanamitindo na mwanafasheni.Uraibu...

BI TAIFA MACHI 10, 2021

Vivian Wanjiru mwenye umri wa miaka 22 ndiye mgeni wetu leo.Yeye ni mfanyibiashara na msanifishaji wa miondoko kutoka kaunti ya...

BI TAIFA MACHI 9, 2021

Sylvia Moraa 21 ni mwanafunzi wa Food and Beverages katika taasisi ya Rift Valley Institute of Science and Technology.Anapenda kutazama...

BI TAIFA MACHI 8, 2021

Laureen Etemesi 22 ni mzaliwa wa kaunti ya Kakamega,Yeye amebobea katika sekta ya utalii.Uraibu wake ni kusakata densi na kuandika miswada...

BI TAIFA MACHI 7, 2021

Faith Foxy Wamboi 25, ni mwanamitindo na mwanafasheni kutoka kaunti ya Nakuru.Uraibu wake ni kushiriki kwenye majukwaa ya urembo na...

BI TAIFA MACHI 6, 2021

Sharon Mokeira mwenye umri wa miaka 21 ni mwanamitindo na mwanafunzi katika Chuo Kikuu Cha Egerton.Uraibu wake ni kutazama filamu na...

BIT TAIFA MACHI 5, 2021

racy Nerita mwenye umri wa miaka 24 ni mwanafunzi kutoka Chuo Kikuu Cha Moi.Uraibu wake ni kushiriki kwenye majukwaa ya mapambo na...

BI TAIFA MACHI 4, 2021

Mary Sang mwenye umri wa miaka 27 ni mwanafasheni na mwanafunzi wa Uhasibu katika Chuo Kikuu Cha Moi kaunti ya Uasin -Gishu.Uraibu wake ni...