• Nairobi
  • Last Updated April 17th, 2024 5:55 AM

Mackenzie sasa hataona nje ya jela mpaka kesi dhidi yake ikamilike

NA BRIAN OCHARO MHUBIRI mwenye utata Paul Mackenzie na washtakiwa wenzake 94 wa vifo vya Shakahola watasalia gerezani hadi kesi ambayo...

Nyani wateka ploti, waiba, kucharaza na kutimua wapangaji

PURITY KINUTHIA NA RICHARD MAOSI WAKAZI wa mitaa ya Nakuru wameshindwa kuvumilia mahangaiko ya kuvamiwa, kuibiwa na kucharazwa na nyani...

Daraja la aibu lililojengwa kwa mabati 

NA WYCLIFFE NYABERI  DARAJA la Nyamache, lililofanya baadhi ya wakazi wa eneobunge la Bobasi, Kaunti ya Kisii kuandamana Jumatatu, Aprili...

Polisi watibua maandamano ya daraja mbovu

NA WYCLIFFE NYABERI  MAAFISA wa polisi wametibua maandamano ya baadhi ya wakazi wa eneobunge la Bobasi, Kaunti ya Kisii, waliokuwa...

KPC yawekeza Sh1.4 bilioni kukabiliana na majanga 

NA TITUS OMINDE KAMPUNI ya Kenya Pipeline imewekeza kima cha Sh1.4 bilioni katika uboreshaji wa kisasa wa Taasisi ya Mafuta na Gesi ya...

Mtangazaji Weldon Kirui asikitika redio zimesheheni matapiko machafu  

NA PETER CHANGTOEK WELDON Oriöp Kirui alijulikana mno kwa vipindi kadhaa alivyokuwa akiandaa alipokuwa KBC Redio Taifa. Kwa sasa, ni...

Arsenal yapepetwa na Aston Villa   

NA MWANGI MUIRURI  NI kilio na majonzi kwa mashabiki wa Arsenal huku wakishikilia kwamba ndovu angali juu ya mti baada ya timu kipenzi...

Mcheshi Kiengei na mbunge wa zamani ‘washikana mashati’

NA WANDERI KAMAU MWANZILISHI wa kanisa la Jesus Compassion Ministries (JCM), Pasta Benson Kiengei, wikendi alizua gumzo katika mitandao...

Aladwa ahimiza wanafunzi waliopata basari kutia bidii shuleni

NA SAMMY KIMATU MBUNGE wa Makadara, Bw George Aladwa amewataka wanafunzi ambao wamepigwa jeki ya basari kuongeza bidii maradufu na...

Tanzia mvulana wa miaka 17 akiangamiza msichana wa miaka 7  

NA MWANGI MUIRURI MWANAFUNZI wa kiume wa miaka 17 kutoka Kaunti ya Kirinyaga ametiwa mbaroni kwa madai alimuua binamuye wa kike wa miaka...

Mwanablogu aliyeshtakiwa kuandika taarifa za kupotosha kuhusu Gavana aachiliwa

NA BRIAN OCHARO MWANABLOGU aliyeshtakiwa kuchapisha taarifa za kupotosha kuwa Gavana wa Kilifi Gideon Mung’aro aliibiwa Sh200 milioni...

Mpenzi wa zamani wa Ruben Dias amtema kiungo wa Sheffield kama chingamu

NA CHRIS ADUNGO KIUNGO mkabaji wa Sheffield United na timu ya taifa ya Brazil, Vinicius de Souza Costa, ameachwa kwa mataa baada ya...