NA LAWRENCE ONGARO HOSPITALI ya Thika Level 5 imepata afueni baada ya kupokea dawa za thamani ya Sh10 milioni. Waziri wa Afya katika...
NA MWANGI MUIRURI TABIA ya maafisa wa polisi vijana kupenda mitandao ya kijamii sasa inahatarisha taaluma za wakubwa wao katika Eneo la...
NA COLLINS OMULO MASENETA wa Azimio sasa wanapanga kusambaratisha ajenda zote za serikali ya Kenya Kwanza zitakazowasilishwa katika seneti...
BARNABAS BII Na ANTHONY KITIMO SHEHENA ya kwanza ya mahindi ya manjano inatarajiwa kuingia nchini leo Jumapili. Japo meli hiyo iliyobeba...
NA RICHARD MUNGUTI MWANAUME ameshtakiwa kumchoma kwa maji moto mkewe waliyetengana. Ezekiel Kikwatha alifunguliwa shtaka la kumuumiza...
NA LAWRENCE ONGARO AMPUNI ya Huduma za kidijitali ya Microsoft imetangaza ushirikiano na shirika la OCP Africa kwa minajili ya kuwainua...
NA KALUME KAZUNGU VIONGOZI wa jamii ya walio wachache ya Waboni, kaunti ya Lamu wameikashifu serikali kuu na ile ya kaunti kwa...
NA BRIAN OCHARO MWANAMUME mwenye umri wa miaka 24 aliyemkanyaga afisa wa polisi wa trafiki mjini Mombasa amefunguliwa mashtaka ya kuua...
LAWRENCE ONGARO ASKOFU mkuu wa kanisa la Glory Outreach Assembly Kahawa Sukari, Bw David Munyiri Thagana amepokea tuzo ya tano ya amani...
NA CHARLES WASONGA MWAKILISHI wa Kenya katika Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) Kanini Kega jana Alhamisi alifurushwa kutoka kwa...
NA LAWRENCE ONGARO WANAFUNZI wa Chuo cha Thika Training Institute College wamehimizwa watie bidii na wanufaika na teknolojia ya...
NA JOSEPH NDUNDA MFANYABIASHARA aliyedaiwa kumtapeli afisa mkuu wa polisi Sh1.8 milioni kwa kumuuzia ardhi feki alishtakiwa Jumatano kwa...