Linturi aonya wakora wanaouza mbolea ya serikali

ERIC MATARA Na ROBERT KIPLAGAT WAZIRI wa Kilimo Mithika Linturi amefichua kwamba wanawatumia maafisa wa Idara ya Upelelezi Nchini (DCI)...

Vuguvugu la wahubiri 500 lataka Raila asitishe maandamano

NA SAMMY KIMATU WAHUBIRI zaidi ya 500 wamekosoa wito wa kinara wa Azimio la Umoja-One Kenya, Bw Raila Odinga wa kuwataka wafuasi wake...

Tanzia: Mwanamume amuua nduguye kabla kujitia kitanzi

NA NYABOGA KIAGE POLISI eneo la Mwingi wameanzisha uchunguzi kufuatia kisa cha mwanamume aliyemuua ndugu yake, kabla ya kujitia...

Wandayi awaomba waajiri kuwapa wafanyakazi ruhusa ya kushiriki maandamano Jumatatu, Machi 20, 2023

NA CHARLES WASONGA KIONGOZI wa wachache katika Bunge la  Kitaifa Opiyo Wandayi sasa anawaomba waajiri kote nchini waachilie wafanyakazi...

Azimio: Naibu Rais aandikishe taarifa DCI kwa kutishia Raila

Na CHARLES WASONGA WABUNGE na maseneta wa Azimio la Umoja One- Kenya sasa wanamtaka Naibu Rais Rigathi Gachagua kuandikisha taarifa kwa...

Omanga ‘amcheka’ Raila kwa kutishia kumshtaki Rais

NA MWANDISHI WETU    WAZIRI Msaidizi mteule Millicent Omanga amemsuta kinara wa Azimio, Raila Odinga kufuatia tishio lake kumshtaki...

Raila aapa kuandaa maandamano licha ya onyo la serikali

NA SAMMY WAWERU KINARA wa Azimio Raila Odinga ameshikilia kwamba maandamano yaliyopangwa kufanyika jijini Nairobi mnamo Jumatatu wiki...

Mbunge Alice Ng’ang’a alivyopendeza kwa kuvaa sare ya shule mpya ya Jamhuri iliyoko mjini Thika

NA LAWRENCE ONGARO SHULE mpya ya upili ya Jamhuri Secondary School imezinduliwa kwa lengo la kusaidia wanafunzi wengi ambao hukosa...

Lopha Travellers yamulikwa abiria aliyerushwa nje basi likiwa mwendo wa kasi akifariki

NA SAMMY WAWERU WAKENYA wamemshinikiza Waziri wa Uchukuzi, Kipchumba Murkomen kuchukulia hatua kali kampuni ya Lopha Travellers Sacco...

Jinsi ndoa 55 zilivyonoga kwa hafla ya pamoja

NA WACHIRA MWANGI WANANDOA jozi 55 kutoka kaunti mbalimbali nchini Jumatano walifunga pingu za maisha katika Ukumbi wa Kijamii wa...

Mahakama yaharamisha bomoabomoa za kiholela

NA PHILIP MUYANGA MAHAKAMA imeamua kuwa ubomoaji wa majengo kiholela wakati wa mizozo ya umiliki wa ardhi ni hatia. Katika uamuzi ambapo...

Wabunge wataja ruzuku ya bei ya unga wakati wa Uhuru kuwa ni sakata

NA CHARLES WASONGA  WABUNGE Jumanne, walitaja mpango wa ruzuku ya unga wa mahindi ulioanzishwa na Rais Uhuru Kenyatta siku chache kabla...