Mbunge ataka Kenya iige mbinu ya Uganda kukabili ushoga

NA ALEX KALAMA MBUNGE wa Ganze Kenneth Kazungu amependekeza serikali ya kitaifa kupitisha mfumo wa kuwafungia watu wanaoshiriki mapenzi...

Rais wa Tanzania ‘aikejeli’ Kenya kwa ‘kusota’

NA WINNIE ONYANDO RAIS wa Tanzania Samia Suluhu anaonekana kukejeli Kenya kutokana na uhaba wa dola unaokumba sekta ya biashara...

Sh100m kutumika kujenga shule zilizoharibiwa na majangili

NA SAMMY LUTTA SERIKALI ya kitaifa imetenga Sh100 milioni katika bajeti yake ya ziada kwa lengo la kujenga shule ambazo zimebomolewa au...

Hatima ya Matiang’i iko mikononi mwa DPP Haji

NA HILLARY KIMUYU MKURUGENZI wa Mashtaka ya Umma (DPP) Noordin Haji amesema atatoa uamuzi iwapo idara hiyo itamshtaki aliyekuwa Waziri wa...

Madiwani waliumia miezi 6 ya 2022 bila marupurupu – Ripoti

Na PETER MBURU WAWAKILISHI Wadi (MCAs) walikabwa na njaa kati ya Julai na Desemba 2022, wakati mapato yao ya marupurupu ya kushiriki vikao...

Gachagua: Nilinunuliwa suruali yangu ya kwanza nikiwa Form 2

NA SAMMY WAWERU NAIBU wa Rais Rigathi Gachagua amesimulia kuhusu maisha yake ya taabu shuleni na changamoto alizopitia.   Akikiri...

Wanafunzi sasa wanywa uji shuleni kupitia mpango wa Soko Feeding Programme

NA LAWRENCE ONGARO KAMPUNI ya kupakia vyakula ya Capwell Industry Ltd, imejitolea kuhakikisha wanafunzi katika shule kadha Thika na...

Bunge la Kenya na la Hungary kuimarisha ushirikiano, asema Wetang’ula

NA BENSON MATHEKA BUNGE la Kenya na la Hungary zitaimarisha ushirikiano kwa lengo la kunufaisha nchi hizo mbili. Hii ni baada ya...

Wenyeji wadaiwa kula uroda kwa uwanja wa michezo

NA KNA WAKAZI katika Kaunti ya Taita Taveta, wamelalamikia hali mbaya ya uwanja wa michezo wa Moi ambapo inadaiwa sasa umegeuzwa kuwa...

Mbunge taabani kwa matamshi yake kuhusu wenye ardhi na ugaidi

NA KALUME KAZUNGU VIONGOZI katika Kaunti ya Lamu, wameitaka Idara ya Kuchunguza Uhalifu (DCI) imhoji mbunge Mwakilishi wa kaunti hiyo, Bi...

Wakazi walemewa na njaa Kajiado, ukame ukifagia mifugo

Na STANLEY NGOTHO FAMILIA 500,000 na zaidi zinakabiliwa na njaa kali kwenye Kaunti ya Kajiado kutokana na ukame unaoendelea kuathiri eneo...

Kaunti yafadhili 300 kuhudhuria mazishi ya mzee wa jamii ya Waluo

NA MKAMBURI MWAWASI SERIKALI ya Kaunti ya Mombasa imewafadhili watu 300 kutoka jamii ya Waluo kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa mwenyekiti...