• Nairobi
  • Last Updated June 3rd, 2023 4:23 PM

Kibo Africa yazindua pikipiki ya injini ya 160cc

NA LAWRENCE ONGARO KAMPUNI ya Kibo Africa imezindua pikipiki mpya ya injini ya ufyonzaji mafuta wa 160cc ambayo imesifiwa kwa kusaidia...

Idadi ya walioaga dunia Shakahola yagonga 150

NA ALEX KALAMA  KATIKA siku ya tatu ya awamu ya pili ya ufukuaji wa makaburi ili kutoa miili ya watu waliozikwa katika hali tatanishi...

Maajabu mashemeji wakicharaza baba ya mume

NA TITUS OMINDE MFANYABIASHARA mwenye umri wa miaka 60 mjini Eldoret amemshtaki mkwe wake pamoja na kaka zake wawili na baba yao kwa...

Kufikia jana Jumatano idadi ya walioangamia Shakahola ilikuwa 145

NA ALEX KALAMA  KATIKA siku ya pili ya awamu ya pili ya ufukuaji wa makaburi ili kutoa miili ya watu waliozikwa katika hali tatanishi...

Ashtakiwa kwa wizi na ubakaji, kifungo cha miaka 210 jela kikimuandama

Na TITUS OMINDE MWANAMUME anayehusishwa na mtandao wa genge la majambazi ambao wamekuwa wakiwaibia na kuwabaka wanawake kwa msururu...

Ashtakiwa kwa kutishia kumnyofoa mjomba sehemu za siri

NA TITUS OMINDE MVULANA mwenye umri wa miaka 17 alishtakiwa Jumatano, Mei 10, 2023 kwa kutishia kumkata sehemu za siri mjombake....

Askofu alalamikia kulazimishwa kubeba kinyesi akiwa seli kwa kesi ya ulanguzi wa watoto

Na RICHARD MUNGUTI MUHUBIRI wa kimataifa Askofu Gilbert Juma Deya anayeshtakiwa kuiba na ulanguzi wa watoto watano jana alijitetea...

Mke wa Naibu Rais alia serikali kutaka kudhibiti makanisa

NA WINNIE ONYANDO MKE wa Naibu Rais Rigathi Gachagua, Dorcas Rigathi, sasa anasisitiza kuwa serikali haina uwezo wala mamlaka ya...

Gavana Waiguru apambana kumiliki nyumba ya Sh200 milioni  

Na RICHARD MUNGUTI MZOZO wa umiliki wa nyumba ya Sh200 milioni kati ya Gavana wa Kirinyaga Anne Waiguru na wakili Chris Kabiro umechacha...

Mkurugenzi taabani kwa kulaghai Jimi Wanjigi shamba

Na RICHARD MUNGUTI MKURUGENZI wa pili wa kampuni inayodai kuwa mmiliki halisi wa shamba la mwaniaji kiti cha urais mwaka 2022 Jimi...

DCI: Baadhi ya miili Shakahola haikuwa na viungo muhimu

BRIAN OCHARO Na VALENTINE OBARA POLISI wa Idara ya Kuchunguza Uhalifu (DCI) wamedai kuwa, baadhi ya miili iliyofukuliwa katika msitu wa...

Wataalamu: Ushuru mpya utaumiza raia

PETER MBURU Na MARY WANGARI MAPENDEKEZO kuhusu jinsi serikali inapanga kumtoza mwananchi ushuru katika mwaka wa kifedha unaoanza Julai...