• Nairobi
  • Last Updated April 24th, 2024 10:40 AM

Nashuku mke wangu anamgawia bosi wake asali, nishauri

Hujambo Shangazi, Mimi nashuku mke wangu analala na bosi wake. Nina hasira sana. Unajuaje kuwa mkeo analala na bosi wake? Ikiwa una...

Bei ya kahawa nchini yaendelea kuimarika

Na KNA KAHAWA ya Kenya imeendelea kuvutia bei katika Soko la Kahawa la Nairobi (NCE) kwa muda wa wiki mbili zilizopita. Wakati wa mauzo...

Raia wa Congo kusalia rumande katika kesi ya utapeli wa Sh156m kwenye dili ya madini

Na RICHARD MUNGUTI RAIA wa Congo anayeshtakiwa kuitapeli kampuni ya kutengeneza chuma Sh156 milioni akidanganya angeliiuzia madini adimu...

Maafisa watatu wa ardhi ya Mavoko iliyokumbwa na ubomozi wasukumwa ndani

Na RICHARD MUNGUTI HATIMAYE mkono mrefu wa sheria umewakamata maafisa watatu wa kampuni ya ununuzi mashamba inayodaiwa ilinyakua shamba...

Vibanda vyachomwa mzozo kuhusu mji wa Keroka ukichacha

NA WYCLIFFE NYABERI HALI ya sintofahamu inazidi katika mji wa Keroka unaozozaniwa na kaunti za Kisii na Nyamira baada ya vibanda vya...

Majonzi ya mama aliyepoteza kifungua na kitinda mimba kwenye ajali

Na MERCY KOSKEI FAMILIA moja ya Nakuru inaomboleza vifo vya kifungua na kitinda mimba waliongamia katika ajali ya barabarani iliyoangamiza...

Mvulana wa miaka 14 azuiliwa kwa madai ya kunajisi makinda mawili

NA TITUS OMINDE MAPEMA wiki, hii mahakama ya Eldoret iliamuru kuzuiliwa kwa mvulana mwenye umri wa miaka 14 anayeshukiwa kunajisi watoto...

Mfanyabiashara akana kutoa hundi feki ya mamilioni

NA RICHARD MUNGUTI MFANYABIASHARA alishtakiwa mnamo Jumanne, Aprili 9, 2024 kwa kulipa deni la Sh999,000 akitumia hundi akijua akaunti...

Kukamilika kwa mwezi Mtukufu wa Ramadhani kusiwe mwisho wa ibada

NA JUMA NAMLOLA KWANZA hatuna budi kurejesha shukurani kwa Mwenyezi Mungu (SWT) kwa kutupa nafasi ya kushiriki katika ibada kubwa ya...

Kupigia mbuzi gitaa: Madaktari wapuuza wito wa kurejea kazini kukabili wimbi la nimonia

NA WINNIE ATIENO MADAKTARI katika Kaunti ya Mombasa wamepuuzilia mbali ombi la serikali ya Gavana Abdulswamad Nassir kurudi kazini ili...

Msaada wa MCA wa ‘ambulensi’ ya probox wafaidi wakazi

Na VITALIS KIMUTAI NI kawaida kuona gari aina ya Toyota Probox katika barabara za Kenya na linajulikana kwa matumizi mengi. Gari hilo...

Jeshi litarudisha utulivu wanafunzi warejelee masomo Muhula wa Pili Pokot Magharibi?

NA OSCAR KAKAI SHULE tano ambazo zilifungwa miaka miwili iliyopita kutokana na visa vya utovu wa usalama katika maeneo ya Chesegon na...