NA JESSE CHENGE MHUBIRI wa kanisa la Muungano Church for All Nations, Geoffrey Nakalira Wanyama,83, almaarufu 'Nabii Yohana wa Tano'...
NA WACHIRA MWANGI WANAUME wawili wameaga dunia kutokana na majeraha waliyopata huku mmoja akipigania maisha yake baada ya maporomoko ya...
NA SAMMY KIMATU WANAFUNZI katika shule ya South ‘B’ PEFA Academy iliyoko kaunti ndogo ya Makadara wamejawa na tabasamu baada ya...
Na RICHARD MUNGUTI MWANAMUME anayejifanya polisi na kuhangaisha wakazi jijini Nairobi amekamatwa na kufunguliwa mashtaka. Polisi...
NA KALUME KAZUNGU VIJANA wanaharakati wa uhifadhi wa mazingira katika Kaunti ya Lamu wana matumaini kwamba shughuli zao za kuhifadhi...
NA KALUME KAZUNGU IDARA ya polisi tarafa ya Mpeketoni, Kaunti ya Lamu imelalamika kwamba inapokea ripoti nyingi za mizozo ya wanandoa...
NA GEOFFREY ONDIEKI MHESHIMIWA Stephen Lenamarle amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la Kaunti ya Samburu. Bw Lenamarle amepata kura 23...
NA TITUS OMINDE KIZAAZAA kilitokea katika lango la makao makuu ya Kaunti ya Uasin Gishu pale kundi la vijana wa kurandaranda mjini...
NA ALEX NJERU POLISI katika Kaunti ya Tharaka Nithi wamepata sehemu nyingine za mwili wa mwanamume kutoka kijiji cha Giankanja...
NA KALUME KAZUNGU SERIKALI ya Kaunti ya Lamu, imetangaza mpango wa kuwazawadi watunzaji mikoko na wapanzi wa miti eneo hilo kama njia...
NA MERCY KOSKEI KAUNTI ya Nakuru imepokea mitungi 695 ya Oksijeni na vifaa vya usambazaji wa gesi hiyo kutoka kwa Amref Health...
NA VITALIS KIMUTAI POLISI katika Kaunti ya Kericho wamewakamata zaidi ya washukiwa 120 kuhusiana na maandamano, kufungwa kwa barabara na...