NA ALEX KALAMA BAADHI ya wafuasi wa muungano wa Azimio la Umoja-One Kenya katika Kaunti ya Kilifi wameitaka serikali ya kitaifa chini ya...
NA KALUME KAZUNGU BIASHARA za hoteli na gesti zinazidi kuchipuka na kunoga eneo la Mokowe, Kaunti ya Lamu tangu kufunguliwa rasmi kwa...
NA SHABAN MAKOKHA WASHIRIKA wa Rais William Ruto kutoka Kaunti ya Kakamega wamekosoa uteuzi wake wa Mawaziri Wasaidizi (CASs), wakidai...
NA JURGEN NAMBEKA KWA kawaida, mchanga mweupe wa baharini katika Pwani za Kenya huaminika kuwa sehemu ya kivutio kikuu cha utalii. Lakini...
NA MERCY KOSKEI KISANGA kilishuhudiwa Ijumaa katika Kituo Kikuu cha polisi Nakuru, baada ya wanaume wawili kukwea mti wakiwa uchi na...
NA SHABAN MAKOKHA JUHUDI za serikali ya Kaunti ya Kakamega kuinua utoshelevu wa chakula huenda hazitatimia baada ya mabroka kuvamia mpango...
NA SAMMY KIMATU FAMILIA zaidi ya 500 zilizoathirika katika wa mkasa wa moto Mukuru-Commercial, Kaunti ndogo ya Starehe walipigwa jeki...
NA JURGEN NAMBEKA GAVANA wa Kaunti ya Mombasa, Bw Abdulswammad Nassir, amewaonya mawaziri wake dhidi ya...
NA BRIAN OCHARO MWANAMKE ameshtakiwa katika Mahakama ya Mombasa kwa madai ya kutishia kumuua afisa mkuu wa idara ya Mazingira katika...
NA MACHARIA MWANGI AINA mpya ya uhalifu imechipuka katika barabara za Naivasha ambapo kundi la walaghai wanazunguza wakijifanya kuangusha...
NA FARHIYA HUSSEIN MBUNGE wa Nyali, Bw Mohamed Ali, amenusurika baada ya watu wasiojulikana kufyatua risasi katika afisi zake. Kufuatia...
Na SAMMY KIMATU skimatu@ke.nationmedia.com WAZAZI wenye watoto wanaoishi na ulemavu wameombwa kutowaficha watoto wao nyumbani na badala...