Duka moja la dawa lanaswa likiuza dawa zinazofaa kuwa katika hospitali za umma

NA ALEX KALAMA  BODI ya kusimamia dawa nchini kupitia kitengo cha uchunguzi wa uhalifu imenasa dawa za serikali zenye thamani...

Vijana Kilifi wahimizwa wawe mstari wa mbele kutoa maoni kuhusu maswala muhimu ya kijamii

NA ALEX KALAMA BAADHI ya vijana katika bunge la vijana kaunti ya Kilifi wametoa wito kwa vijana wengine kaunti hiyo kushiriki vikao vya...

Mwanafunzi akiwa na bidii ‘day school’ atapita tu – chifu

NA ALEX KALAMA CHIFU wa eneo la Chakama lililoko Adu katika Kaunti ya Kilifi Raymond Msinda Charo amewataka wazazi ambao watoto wao...

Chemchemi nyingi ziko Kwale ila wakazi wa Mombasa wafaidi kuliko sisi, alalama Gavana Achani

NA FARHIYA HUSSEIN GAVANA wa Kwale Bi Fatuma Achani, ameitaka Serikali Kuu kuondoa Shirika la kusimamia maendeleo ya maji Pwani (CWWDA)...

Kenya Power yajutia kitendo chake cha kukata umeme hospitalini Coast General

NA WINNIE ATIENO KAMPUNI ya umeme nchini (Kenya Power) imeomba radhi kwa kukatiza usambazaji wa umeme katika hospitali ya Rufaa ya...

Wanaharakati wataka serikali ikomeshe ukataji wa miti Buntwani

NA ALEX KALAMA Wanaharakati wa kutetea haki za kibinadam na mazingira wamekilaani vikali kitendo cha ukataji wa miti katika bustani ya...

Wanakijiji wakutana na jeneza bila maiti mlangoni

NA WYCLIFFE NYABERI HOFU na mshtuko vimetanda katika wadi ya Tabaka, eneobunge la Mugirango Kusini, Kaunti ya Kisii baada ya jeneza...

Wakazi wa Chakama wakadiria hasara baada ya mazao yao kufyekwa na wanyamapori

NA ALEX KALAMA ZAIDI ya wakazi 4,000 kutoka eneo la Chakama, wadi ya Adu, Kaunti ya Kilifi wanakadiria hasara kubwa ya mamilioni ya...

Uvuvi wakwama upepo mkali ukivuma baharini

NA KALUME KAZUNGU UHABA wa samaki huenda ukatokea katika maeneo ya Pwani, baada ya wavuvi wengi kushindwa kuenda baharini kwa sababu ya...

Mungatana ataka gavana achague mawaziri wachapa kazi

NA STEPHEN ODUOR SENETA wa Tana River, Bw Danson Mungatana, amemwomba Gavana Dhadho Godhana, kuchagua mawaziri watakaomsaidia kuacha sifa...

Wakulima wa kahawa walilia serikali kutimiza ahadi

Na IRENE MUGO WAKULIMA wa kahawa katika Kaunti ya Nyeri, wanataka serikali kutimiza ahadi iliyowapa ya kuanzisha hazina ya kuthibiti bei...

Viongozi na wakazi wa Thika walaani ushoga

NA LAWRENCE ONGARO VIONGOZI na wakazi wa Thika wamelaani uamuzi wa Mahakama ya Upeo kuwaruhusu mashoga kusajili rasmi muungano wa...