• Nairobi
  • Last Updated April 17th, 2024 5:55 AM

Majonzi mwanachuo mjamzito akijinyonga

NA VITALIS KIMUTAI MWANAFUNZI wa chuo kikuu, ambaye alikuwa mjamzito, alijiua katika mtaa mmoja mjini Kericho katika kisa kilichoshtua...

Jinsi ukosefu wa sodo Pokot Magharibi unachangia wasichana kuacha shule

NA OSCAR KAKAI  KAUNTI ya Pokot Magharibi ingali inakumbwa na kero ya uhaba wa tauli za hedhi hususan kwa wasichana wa shule, suala...

Hofu watoto wanaoambukizwa Ukimwi na mama zao wakiongezeka

NA ERIC MATARA MAAFISA wa afya katika Kaunti ya Narok wameelezea wasiwasi kuhusu ongezeko la idadi ya watoto wanaoambukizwa virusi vya...

Gavana Mwangaza ataja vitisho kiini cha kutotembelea Igembe

NA DAVID MUCHUI GAVANA wa Meru Kawira Mwangaza alifichua kuwa vitisho vya kila mara kutoka kwa wapizani wake ndio sababu kuu ya kukaa...

Polisi matatani kwa dai la kuruhusu mshukiwa auawe

NA MWANGI MUIRURI POLISI watano kutoka kituo cha polisi cha Murang’a huenda wakakamatwa na kushtakiwa kuhusiana na mauaji ya mhudumu...

Polisi waokoa watoto 10 waliozuiliwa kanisani kwa ‘mafunzo ya utawa’

NA GITONGA MARETE POLISI wa Timau, eneobunge la Buuri wanachunguza jinsi ambavyo kanisa moja limekuwa likiwazuilia wasichana wadogo kwa...

Urafiki wa Joho, Omar wazua joto kisiasa

NA WINNIE ATIENO JUHUDI za aliyekuwa Gavana wa Mombasa, Hassan Joho kuunganisha viongozi wa Pwani waliokuwa mahasimu wake kisiasa...

Wavinya akemea ufisadi akibeba msalaba Ijumaa Njema ya Pasaka

NA BENSON MATHEKA GAVANA wa Kaunti ya Machakos Wavinya Ndeti ametoa changamoto kwa Wakenya kuepuka ufisadi, akiutaja uovu huo kuwa...

Gavana aonya wanaotoza chekechea karo

NA WINNIE ATIENO GAVANA wa Mombasa Abdulswamad Nassir ameonya bodi za shule za chekechea dhidi ya kuwatoza wazazi karo ya shule. Hii ni...

NMG yapeleka msaada kwa kituo cha watoto cha Mama Fatuma

NA SAMMY KIMATU WATOTO katika makao ya Mama Fatuma Goodwill Children's Home katika mtaa wa Eastleigh Section 1, kaunti ndogo ya...

Mkutano wa Gachagua, wafanyabiashara wadogowadogo wazaa matunda

NA CHARLES WASONGA WAFANYABIASHARA wadogowadogo wa Nairobi wanaoagiza bidhaa kutoka ng’ambo sasa wamepata afueni baada ya serikali...

Pombe: Hoteli 5 zafungwa msako ukiendelea

NA STEPHEN MUNYIRI HOTELI tano za hadhi mjini Karatina, Kaunti ya Nyeri, zilifungwa Jumatano baada ya Rais William Ruto kuzuru kaunti hiyo...