• Nairobi
  • Last Updated April 20th, 2024 5:23 PM

Baa zote zafungwa licha ya korti kuagiza zifunguliwe

GITONGA MARETE NA STEPHEN MUNYIRI MJI wa Karatina Kaunti ya Nyeri, hauna baa yoyote inayohudumu baada ya serikali kufunga baada zote...

Gavana Mwadime aagiza baa zifunguliwe

NA LUCY MKANYIKA GAVANA Andrew Mwadime ametoa agizo kwa wamiliki wa baa katika Kaunti ya Taita Taveta ambao wamefuata masharti ya Sheria...

Mkibebwa mbebeke, Chibule ashauri wakazi wa Kilifi

NA JURGEN NAMBEKA NAIBU Gavana wa Kilifi Florah Chibule amewataka wakazi wa Pwani wanaofaidika na miradi ya kiufadhili kutoka nchi za...

Hospitali yachunguzwa kwa utepetevu uliosababisha mtoto kukatwa mkono

NA LUCY MKANYIKA BARAZA la Uuguzi Nchini limeanzisha uchunguzi wa kina kuhusu madai ya utepetevu katika hospitali ya Wesu iliyoko katika...

Hatimaye Arati amteua naibu wake

NA WYCLIFFE NYABERI GAVANA wa Kisii Simba Arati amemteua mwenyekiti wa sasa wa Bodi ya Utumishi wa Umma katika Kaunti (CPSB), Bw Elijah...

Seneta: Mishahara yalemaza maendeleo Taita Taveta

NA LUCY MKANYIKA  SENETA wa Kaunti ya Taita Taveta Jones Mwaruma amelalamika kuwa mzigo mkubwa wa mishahara ya wafanyakazi wa kaunti...

Monda aelekea kortini kupinga kubanduliwa kwake

NA WYCLIFFE NYABERI ALIYEKUWA Naibu Gavana wa Kaunti ya Kisii Dkt Robert Monda ameelekea kortini kupinga kung'atuliwa kwake...

Majeneza yateketea katika mkasa wa moto Mathira 

NA MWANGI MUIRURI ZAIDI ya majeneza 150 ambayo mafundi walikuwa wametengeneza kusubiri wateja, yamechomeka hadi kuwa majivu katika mkasa...

Wamuratha aandaa timu ya wanawake 100 kunasua vijana kwa ulevi

NA LAWRENCE ONGARO MBUNGE Mwakilishi wa Kike wa Kaunti ya Kiambu, Anne Wamuratha, amefanya kikao maalum na wanawake 100 mjini Thika,...

Mbinu maalum kuzima ujangili Kerio Valley 

NA OSCAR KAKAI VYOMBO vya usalama Bonde la Kerio Valley vinapanga kutekeleza ‘mashambulizi’ kwenye maficho ya wahuni ambao wamekuwa...

Taita Taveta yalia miradi ya serikali kuu kukwama

NA LUCY MKANYIKA UJENZI wa barabara ya Mto Mwagodi-Msau-Mbale-Werugha-Mgange-Bura ya kilomita 54 umekoma, licha ya serikali kuhakikishia...

Wafanyabiashara walia kuumizwa na ushuru, ukatili wa kanjo

NA MWANGI MUIRURI MBUNGE wa Kiharu Ndindi Nyoro amekiri kwamba Mamlaka ya Ushuru Nchini (KRA) na ile ya kupambana na bidhaa feki (CA)...