• Nairobi
  • Last Updated March 5th, 2024 12:03 PM

Korti yakubali mwanamume mpango wa kando alipwe asilimia 30 mali ya mwanamke

NA BRIAN OCHARO MAHAKAMA ya Nairobi imemwagiza mwanamke amlipe mwanamume ambaye alikuwa ameishi naye kwa miaka 25, asilimia 30 ya mali...

Somalia yajiunga rasmi na EAC  

NA CHARLES WASONGA JUMHURI ya Somalia sasa imejiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) baada ya kuwasilisha rasmi stakabadhi zake za...

Wabunge wa EALA nchini kupigia debe Raila

NA VALENTINE OBARA KAMPENI za kumtaka kiongozi wa upinzani Raila Odinga kuwa mwenyekiti ajaye wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC) zimezidi...

Bonge la muungano wa Raila, Ruto na Mudavadi

NA JUSTUS OCHIENG USHIRIKIANO kati ya Rais William Ruto na kiongozi wa Azimio Raila Odinga unaweza kubadilisha siasa za nchi na kufanya...

Ujangili: Wahubiri walilia Ruto

ERIC MATARA Na GEOFFREY ONDIEKI VIONGOZI wa kidini kutoka kaunti sita eneo la Bonde la Ufa wameelezea wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa...

CIPK yataka mahakama ya rufaa ya kadhi kusikiza kesi za urithi

NA TITUS OMINDE BARAZA la Wahubiri na Maimam (CIPK) linataka bunge kubuni sheria ya kuanzishwa kwa mahakama ya rufaa ya Kadhi...

Alama nyingi za ‘E’ zauma roho viongozi Bonde la Ufa

NA TITUS OMINDE KITENDAWILI sugu cha watahiniwa wa KCSE 2023 kupata alama ya E katika mtihani wa kitaifa kingali kero kwa viongozi...

Tarajieni mvua nyingi Machi hadi Mei – MET

NA KENYA NEWS AGENCY IDARA ya Utabiri wa Hali ya Hewa nchini imetoa tahadhari kuhusu kuongezeka kwa mvua inayotarajiwa kote nchini msimu...

Kindiki awaonya wanasiasa dhidi ya malumbano ya kila mara Kisii

NA WYCLIFFE NYABERI WAZIRI wa Usalama wa Ndani Kithure Kindiki amewaonya wanasiasa wanaochochea fujo katika Kaunti ya Kisii, akisema...

KFCB yatembeza bakora kwa wasanii wa muziki ‘mchafu’

NA WANDERI KAMAU JE, Bodi ya Kudhibiti Filamu Kenya (KFCB) itafanikiwa kuwakomesha wanamuziki wanaotunga nyimbo za kuipotosha jamii? Hilo...

Raychelle Omamo na Faith Odhiambo: Wanawake pekee kuwaongoza mawakili nchini

NA WANDERI KAMAU USHINDI wa Bi Faith Mony Odhiambo kama kiongozi mpya wa Chama cha Mawakili Kenya (LSK), umetajwa kuwa wa kipekee, kwani...

Wakazi Bonde la Ufa wauliza Rais atatimiza ahadi lini

NA ERIC MATARA AKIFANYA kampeni zake za uchaguzi wa 2022, Rais William Ruto aliahidi kutekeleza miradi muhimu katika eneo la Kusini...