Mjumbe wa handisheki atua Kenya

NA WAANDISHI WETU MWANDANI wa Rais wa Amerika (US) Joe Biden, anyeaminika kushawishi handisheki baina ya aliyekuwa rais Uhuru Kenyatta...

Kindiki akohoa

NA CHARLES WASONGA HATIMAYE Waziri wa Usalama wa Ndani Kithure Kindiki amezungumzia tukio la Jumatatu ambapo wahalifu...

Inspekta Jenerali alikuwa wapi?

NA BENSON MATHEKA UHARIBIFU wa mali uliotokea mnamo Jumatatu polisi wakizima maandamano ya wafuasi wa Muuungano wa Azimio la Umoja-One...

Watu 25 wang’ang’ania kiti cha Chebukati IEBC

NA CHARLES WASONGA JUMLA ya watu 25 wanataka kumrithi mwenyekiti wa zamani wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati...

Mahasla walemewa na njaa – utafiti

NA LEONARD ONYANGO IDADI kubwa ya Wakenya wanataka Rais William Ruto apunguze bei ya vyakula na bidhaa nyinginezo muhimu. Matokeo ya...

Stima yatatiza kesi dhidi ya Maribe, Jowie

NA RICHARD MUNGUTI UKOSEFU wa nguvu za umeme katika Mahakama Kuu ya Naivasha ulivuruga kuamuliwa kwa kesi ya mauaji inayomkabili...

Haji asitisha kesi dhidi ya binti ya CAS

NA JOSEPH OPENDA MKURUGENZI wa Mashtaka ya Umma (DPP) Noordin amefutilia mbali kesi ya ufisadi iliyomkabili Bi Edith Kimani ambaye ni...

Raila sasa afokea nchi za kigeni

NA LEONARD ONYANGO KINARA wa Azimio Raila Odinga sasa amefokea nchi za kigeni kwa ‘kusalia kimya’ kuhusu maandamano ya Upinzani...

Mbunge wa zamani jela kwa kupokea hongo

NA RICHARD MUNGUTI ALIYEKUWA Mbunge wa Bonchari Parvel Oimeke amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu gerezani kwa kupokea hongo ya Sh200,000...

Sijapata malalamiko rasmi ya Uhuru – Koome

NA CHARLES WASONGA INSPEKTA Jenerali wa Polisi Japhet Koome Jumanne amesema afisi yake haijapokea malalamishi yoyote kutoka kwa wasimamizi...

Mmoja auawa, 3 wajeruhiwa kwenye maandamano

NA WAANDISHI WETU MTU mmoja aliuawa na wengine wawili wanauguza majeraha baada ya polisi jana kufyatulia risasi waandamanaji katika...

Kichaa cha kuiba mali ya familia ya Rais Mstaafu

NA WAANDISHI WETU MASWALI yameibuka baada ya genge la wahuni kuvamia shamba la familia ya Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta katika eneo la...