Serikali yafuta leseni za kampuni 26

NA FRED KIBOR SERIKALI imepiga marufuku mashirika 26 ya kusafirisha Wakenya kuenda ughaibuni kusaka ajira Ulaya katika juhudi za...

Njaa yasukuma wakazi Turkana kula tunda hatari

NA SAMMY LUTTA WAKAZI wa Kaunti ya Turkana wanakabiliwa na njaa kutokana na ukame uliodumu kwa muda mrefu kiasi kwamba baadhi yao sasa...

Mbunge adai watu mashuhuri Mlima Kenya wamepiga jeki Raila kwa Sh10 bilioni kufanya maandamano

NA SAMMY WAWERU MBUNGE wa Thika mjini Alice Ng’ang’a amedai anajua wanaofadhili maandamano ya Azimio kuafikia matakwa yao....

Ikulu ndogo jijini Mombasa hatarini kuporomoka

NA WINNIE ATIENO SERIKALI inatarajiwa kutumia mamilioni ya pesa kukarabati ikulu ya Mombasa ambayo imesemekana kuwa katika hatari ya...

Njama ya Ruto kumaliza Raila kisiasa Nyanza alivyowazima Moi na Kenyatta yafichuka

OSCAR OBONYO Na BENSON MATHEKA KIONGOZI wa Azimio la Umoja-One Kenya, Bw Raila Odinga anapoongoza maandamano kote nchini, Rais William...

Tutajiandaa lini?

NA WANDERI KAMAU MAFURIKO yanayoendelea kukumba sehemu tofauti za nchi yameibua maswali kuhusu ni lini tutajitayarisha kama nchi...

‘Walimzika’ wakamsahau, kumbe alikuwa jela!

NA SAMMY KIMATU WAKAZI katika mtaa wa mabanda wa Mukuru-Hazina ulioko katika tarafa ya South B, kaunti ndogo ya Starehe walipigwa na...

DCI yaomba msamaha

NA MWANDISHI WETU IDARA ya Kuchunguza Makosa ya Jinai (DCI) imeomba Wakenya msamaha kwa kuchapisha picha za watu tofauti ikisaka habari...

DCI yalemewa na ‘Reverse Image Search’

CHARLES WASONGA Na MICHAEL YAMBO MASWALI yameibuka kuhusu lengo la Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) kuchapisha picha za awali kudai...

Rufaa yatupwa, magaidi 2 kukaa jela miaka 41

NA RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA Kuu Ijumaa imefutilia mbali rufaa iliyowasilishwa na magaidi wawili walioua wanafunzi 148 wa Chuo Kikuu cha...

Karen Nyamu atetea wafanyakazi walipwe vizuri

NA MARY WANGARI SENETA Maalum katika Kaunti ya Nairobi, Karen Nyamu, amewasilisha rasmi bungeni mswada unaopendekeza kuongezwa kwa...

Pasta alitoa watoto kafara?

MAUREEN ONGALA Na ALEX KALAMA FAMILIA za watoto wawili inaodaiwa walinyimwa chakula, wakauawa na kuzikwa kisiri na mama yao kwa...