NA WINNIE ONYANDO WAZIRI wa Ardhi, Alice Wahome amethibitisha kwamba ni lazima waajiri wote waendelee kukatwa Ushuru wa Nyumba kutoka kwa...
NA CHARLES WASONGA KIONGOZI wa Wengi katika Bunge la Kitaifa Kimani Ichung’wah ametishia kufichua majina ya wabunge wawili wa kiume...
NA CAROLINE WAFULA MAGAVANA watatu wamehimiza Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) kuangazia ufisadi katika kiwango cha...
JUSTUS OCHIENG na RUHDIE OUDIA KIONGOZI wa Azimio la Umoja-One Kenya Raila Odinga anaonekana kubuni mikakati mipya ya kupambana na...
Na RICHARD MUNGUTI SERIKALI ya Rais William Ruto imepata pigo kubwa baada ya Mahakama Kuu kuharamisha sheria ya kuwatoza wafanyakazi...
NA CAROLINE WAFULA MAGAVANA watatu wamehimiza Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) kuangazia ufisadi katika kiwango cha Serikali...
NA SAMMY WAWERU MBUNGE wa Githunguri Gathoni Wamuchomba ametishia kuangusha Ripoti ya Kamati ya Mazungumzo ya Maridhiano (NADCO)...
BENSON MATHEKA Na FRIDAH OKACHI HATIMAYE serikali ya Kitaifa imetoa Sh10 billioni kwa serikali za Kaunti ili kukabiliana na athari za...
NA RICHARD MUNGUTI ZOEZI la watahiniwa wa Mtihani wa Kitaifa Darasa la Nane (KCPE) 2023 kujiunga na Kidato cha Kwanza mwaka ujao, 2024...
NA WYCLIFFE NYABERI KINARA wa chama cha ODM, Raila Odinga amekashifu vikali mipango ya serikali ya kutaka kuongeza ada za kuchukua...
NA WYCLIFFE NYABERI KINARA wa ODM Raila Odinga amekashifu vikali Baraza la Mitihani Nchini (KNEC) kwa dosari zilizotokea kwenye matokeo...
NA VITALIS KIMUTAI BARAZA la Magavana Nchini (CoG) sasa linataka Baraza la Kitaifa la Mtihani (KNEC) lisuluhishe utata ambao...