Wabunge Kihara na Ichungwa wamtaka Kenyatta kutangaza msimamo wake kuhusu maandamano ya Azimio

NA LABAAN SHABAAN WABUNGE wa kambi tawala ya Kenya Kwanza, wamemtaka Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta kuvunja kimya kuhusu msimamo wake wa...

Mkishiriki maandamano mtahatarisha nafasi zenu kazini, COTU yaonya wafanyakazi

NA CHARLES WASONGA MUUNGANO wa Wafanyakazi Nchini (COTU) umewashauri wafanyakazi kwamba wasishiriki maandamano yaliyotangazwa kuongozwa na...

Malala amtaka Ida Odinga kuandalia UDA chai na ugali siku ya maandamano

NA SAMMY WAWERU  KATIBU Mkuu wa United Democratic Alliance (UDA) Cleophas Malala ametishia kuvamia makazi ya kiongozi wa Orange...

Wakenya puuzeni hiyo likizo mwitu ya Raila, asema Gachagua

NA MWANGI NDIRANGU NAIBU Rais Rigathi Gachagua amewarai Wakenya kupuuzilia mbali wito wa muungano wa Azimio la Umoja kwamba Jumatatu...

Jopo la IEBC latoa hakikisho la kuteua mwenyekiti kwa njia ya haki

NA CHARLES WASONGA JOPO la kuteua mwenyekiti na makamishna limewahakikishia Wakenya kwamba litaendesha shughuli hiyo kwa njia ya haki,...

Wetang’ula ashauri EALA ipigwe jeki

NA BENSON MATHEKA SPIKA wa Bunge la Taifa Dkt Moses Wetang’ula amesema kwamba kuna haja ya kongamano spesheli la Jumuiya ya Afrika...

Ruto atuza wafuasi bila mahasla halisi

NA CHARLES WASONGA SERIKALI ya Rais William Ruto itatumia zaidi ya Sh4 bilioni kulipa mishahara ya wandani wake aliowateua kuwa mawaziri...

KDF, polisi waanza kuwashambulia majangili Bondeni

FRED KIBOR, GEOFFREY ONDIEKI NA FLORAH KOECH WANAJESHI wa KDF na maafisa wa usalama wanaoendesha operesheni ya kudhibiti ujambazi eneo la...

MCK yaunda sera ya kukuza uelewa wa habari

NA CHARLES WASONGA BARAZA la Vyombo vya Habari Nchini (MCK) inatayarisha Sera ya kwanza ya Kitaifa kuhusu Vyombo vya Habari na Uelewa wa...

Omanga kuwa CAS Wizara ya Usalama wa Ndani akipitishwa na bunge

NA SAMMY WAWERU ALIYEKUWA seneta maalum Millicent Omanga ni miongoni mwa walioteuliwa na Rais William Ruto kuhudumu kama mawaziri...

Rais Ruto ateua CAS 50 kusimamia wizara 22

NA MWANDISHI WETU RAIS William Ruto mnamo Alhamisi amewateua Mawaziri Wasaidizi (CAS) 50 kusimamia wizara 22. Kwenye orodha...

Wanaompangia Raila maovu wajue Mwenyezi Mungu atamlinda – Mishi Mboko

NA CHARLES WASONGA MBUNGE wa Likoni Mishi Mboko (ODM) amemkemea kiongozi fulani wa Kenya Kwanza akidai alitoa matamshi yaliyofasiriwa...