• Nairobi
  • Last Updated February 26th, 2024 9:50 AM

Tanzania yamfuta kocha Amrouche kufuatia matamshi tatanishi

NA WYCLIFFE NYABERI  Shirikisho la Soka nchini Tanzania (TFF) limemsimamisha kazi kocha wa timu ya taifa ya wanaume Taifa Stars, Adel...

Bobi Wine awekwa ‘chini ya kizuizi’ nyumbani

NA MASHIRIKA KAMPALA, UGANDA KIONGOZI wa upinzani nchini Uganda, Robert Kyagulanyi, almaarufu Bobi Wine alisema jana amezuiliwa nyumbani...

Polisi watibua maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi DRC

Na MASHIRIKA KINSHASA, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) POLISI nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Jumanne waliwatawanya...

Ulaya sasa yahofia kurejea kwa Trump mamlakani Amerika

BRUSSELS, UBELGIJI NA MASHIRIKA ALIYEKUWA Rais wa Amerika Donald Trump anatishia mataifa mengi barani Uropa kwa kuwania tena urais...

Hizi kashfa dhidi ya wahubiri maarufu kuendelea hadi lini?

NA WANDERI KAMAU KWA kawaida, maana na lengo kuu la dini huwa ni kutoa matumaini kwa washirika wake. Dini huwa kama kimbilio la kumpa...

UN yalaumiwa kwa kimya sana Gaza ikipondwa na Israeli

NA WANDERI KAMAU HALI ya wasiwasi imeibuka duniani kutokana na kimya cha Umoja wa Mataifa (UN), huku Israeli ikiendelea kutekeleza...

Waziri wa masuala ya umaskini afutwa kwa kujiwekea Sh96 milioni akaunti ya kibinafsi

Na MASHIRIKA Rais wa Nigeria amemsimamisha kazi waziri mmoja kwa kujiwekea Sh96 milioni za walipa ushuru kwenye akaunti ya...

Kanisa msalabani: Mjadala wa mapadri kuoa waibuka tena Vatican

ROMA, ITALIA NA MASHIRIKA AFISA mkuu wa Vatican amesema kanisa linapaswa kufikiria sana kuhusu haja ya kuruhusu makasisi kuoa. Afisa...

Milipuko ya mabomu Iran yaua 103 katika makumbusho ya Qasem Soleimani

NA MASHIRIKA TAFSIRI: FATUMA BARIKI TEHRAN, IRAN Milipuko miwili ya mabomu imeua takriban waombolezaji 103 Jumatano Januari 3,...

Ndege zagongana na kuua watu sita

Na MASHIRIKA NDEGE moja iliyokuwa imebeba abiria ililipuka moto Jumanne katika uwanja wa ndege wa Haneda jijini Tokyo, Japan baada ya...

Ushoga: Biden atupa nje Uganda katika mkataba wa kibiashara

Na VINCENT OWINO AMERIKA imezima Uganda kufaidi kutokana na mpango wa kuruhusu mataifa ya Afrika kuuza bidhaa zao Amerika bila kulipia...

Papa Francis aitisha mazungumzo maaskofu wakiendelea kuwindwa

NA MASHIRIKA NICARAGUA TAKRIBAN maaskofu 14 wametiwa mbaroni, kufuatia msako mkali dhidi ya Kanisa Katoliki nchini Nicaragua hatua...