• Nairobi
  • Last Updated May 30th, 2023 8:36 AM

Seth Panyako ajiuzulu naibu mwenyekiti UDA akidai imefeli Wakenya

Na WINNIE ONYANDO NAIBU Mwenyekiti wa Chama cha UDA Seth Panyako, amejiuzulu kutokana na msimamo wa serikali kuhusu ushuru na gharama ya...

Nakuru yapokea mitungi ya Oksijeni kuboresha huduma za afya

NA MERCY KOSKEI KAUNTI ya Nakuru imepokea mitungi 695 ya Oksijeni na vifaa vya usambazaji wa gesi hiyo kutoka kwa Amref Health...

Washukiwa 120 ndani kwa uchomaji mashine za kuchuma majani chai

NA VITALIS KIMUTAI POLISI katika Kaunti ya Kericho wamewakamata zaidi ya washukiwa 120 kuhusiana na maandamano, kufungwa kwa barabara na...

Subirini Wi-Fi ya bure yaja katika vituo 25,000 kote nchini – Rais Ruto

NA CHARLES WASONGA RAIS William Ruto ametangaza kuwa serikali imejitolea kutimiza ahadi yake ya kuweka mawimbi ya mawasiliano ya WI-FI...

Polisi wadumisha usalama karibu na jengo lililobomoka Mombasa

NA WACHIRA MWANGI MAAFISA wa polisi leo Jumamosi wanadumisha usalama kando ya jengo lililobomoka karibu na soko la Marikiti katika...

IPOA yaanzisha uchunguzi baada ya polisi kuua raia sita Isebania

NA WYCLIFFE NYABERI MAMLAKA Huru ya Kuangalia Utendakazi wa Polisi (IPOA) imeanzisha uchunguzi kuhusu kisa ambapo polisi waliwapiga...

Chakula kibovu: Mpishi shuleni Mukumu afunguka

NA HELLEN SHIKANDA WAZIRI wa Elimu Ezekiel Machogu alitua katika Shule ya Upili ya Wasichana ya Mukumu Aprili 15, 2023, na kumwondoa...

Wakili ataka TI Kenya itoe hoja nzito za kumpokonya Haji tuzo ya Uadilifu

Na RICHARD MUNGUTI KAMPUNI moja ya mawakili jijini Nairobi inataka shirika la kupambana na ufisadi la Transparency International...

Maafisa wang’oa na kuteketeza bangi iliyopandwa kando ya barabara

NA MWANGI NDIRANGU MAAFISA wa usalama mjini Nanyuki, Kaunti ya Laikipia mnamo Ijumaa wameng'oa mimea 200 ya bangi iliyopandwa kando ya...

Kunipigia kura haikumaanisha mkatalie na Hasla Fund, mrudishe hiyo mikopo, Ruto aambia Wakenya

NA GEORGE MUNENE RAIS William Ruto ametaka Wakenya kulipa mikopo ya Hasla Fund waliyochukua kuanzisha biashara zao. Akizungumza katika...

Kamati teule yaambiwa Mackenzie alitumia genge kuua wafuasi ‘waliojikokota’ kufa

NA NDUBI MOTURI MHUBIRI Paul Mackenzie alitumia genge la wahalifu kuua wafuasi ‘waliokataa’ kufa hata baada ya kufunga kwa siku...

Mamilioni ya afisa anayelipwa mshahara wa Sh21, 000 kutwaliwa  

Na RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA Kuu imeamuru mali ya Sh537 milioni ya afisa katika Kaunti ya Nairobi itwaliwe. Akiamuru mali ya Michael...