• Nairobi
  • Last Updated May 7th, 2024 8:11 PM

Israel sasa yaondokea Hospitali ya Shifa ikiwa imeiharibu kabisa

Na MASHIRIKA JERUSALEM/CAIRO WANAJESHI wa Israel wameondoka hospitali ya Al Shifa katika mji wa Gaza City baada ya operesheni ya wiki...

Watu 12 wakamatwa kwa kula eneo la wazi mchana wa Ramadhani

NA THE CITIZEN POLISI katika eneo la Mjini Magharibi visiwani Zanzibar wamewakamata watu 12 kwa kula na kunywa maeneo ya wazi mchana wa...

Watu 45 waaga dunia nchini Afrika Kusini katika ajali barabarani

NA MASHIRIKA WATERBERG, AFRIKA KUSINI WATU 45 wameaga dunia, na mmoja akajeruhiwa, katika ajali iliyohusisha basi moja katika mkoa wa...

Tshisekedi na Kagame wakubali kukutana kujadili amani mashariki mwa DRC

NA PATRICK ILUNGA KINSHASA, DRC RAIS wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Felix Tshisekedi na mwenzake wa Rwanda Paul Kagame,...

Urais Senegal: Faye amlemea mgombea wa ‘deep state’

NA MASHIRIKA DAKAR, SENEGAL MGOMBEA urais wa upinzani nchini Senegal Bassirou Diomaye Faye, anatarajiwa kutawazwa rais mpya wa taifa hilo...

Sudan Kusini yasema mwanahabari aliuawa kimakosa akiripoti mapigano

NA MASHIRIKA JUBA, SUDAN KUSINI SUDAN  Kusini imesema uchunguzi wake kuhusu chanzo cha kifo cha mwanahabari Christopher Allen...

Catherine, mke wa mwanamfalme William augua saratani

NA WANDERI KAMAU MKE wa mwanamfalme William, Catherine wa Wales, amesema kuwa yuko kwenye hatua za mwanzo za matibabu, baada ya uchunguzi...

Tinubu aagiza maafisa wafanye halahala kuokoa wanafunzi waliotekwa nyara

NA MASHIRIKA ABUJA, NIGERIA RAIS wa Nigeria Bola Tinubu ameamuru maafisa wa usalama kutolipa ridhaa kwa ajili ya kuachiliwa kwa zaidi...

Putin kifua mbele uchaguzi ukinukia

NA MASHIRIKA MOSCOW, URUSI KURA ya maoni inaonyesha Rais wa Urusi Vladimir Putin anaweza kushinda uchaguzi wa Machi kwa asilimia...

Amerika yawawekea vikwazo wafadhili wa Al-Shabaab

NA REUTERS WASHINGTON D.C., AMERIKA WIZARA ya Fedha nchini Amerika, Jumatatu ilitangaza kuwawekea vikwazo watu na taasisi ilizozitaja...

Hatua za Ariel Henry kutaka kuyaponda magenge Haiti zamsukuma kona mbaya

WANDERI KAMAU Na MASHIRIKA HATUA ya Waziri Mkuu wa Haiti Ariel Henry kutangaza kujiuzulu mnamo Jumatatu, imezua maswali kuhusu ikiwa...

Rais Ruto na Waziri Blinken wafanya mazungumzo kuhusu Haiti

NA CHARLES WASONGA WAZIRI wa Masuala ya Kigeni wa Amerika Antony Blinken Jumamosi, Machi 9, 2024 alifanya mazungumzo na Rais William...