NA SAMMY WAWERU MBUNGE wa Kenya Kwanza amependekeza nyongeza ya asilimia 300 kwa bei ya pombe na vileo vikali. Bw Gabriel (GG)...
NA CHRIS ADUNGO TIMOTHY Kinoti M’Ngaruthi alizaliwa mnamo 1967 katika kijiji cha Kanthungu, Ruiri, Kaunti ya Meru. Ndiye kitinda mimba...
NA AYUMBA AYODI HAKUJUA kile ambacho kilikuwa kikimsuburi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) baada ya kuwasili...
NA SAMMY WAWERU MKE wa Naibu Rais Rigathi Gachagua, Bi Dorcas Gachagua, amesimulia jinsi nusra ajitie kitanzi kufuatia mahangaiko...
NA SAMMY WAWERU MATAYARISHO ya Maonyesho ya Kimataifa ya Kibiashara na Kilimo jijini Nairobi mwaka huu, yanayoandaliwa na Chama cha Kilimo...
NA SAMMY WAWERU KENYA ingali mateka ya chakula kinachonunuliwa nje ya nchi, kwa kiwango kikubwa. Hilo hasa linatokana na wakulima...
NA SAMMY WAWERU MZEE Ken Macharia, amekuwa akiendeleza ufugaji wa kuku tangu 1990. Aliuingilia kama mojawapo ya njia kujipa pato la...
NA WANGU KANURI SENETA maalum Karen Nyamu amemtetea Rais William Ruto baada ya kukiuka ahadi yake ya kushukisha bei ya mafuta. Kwenye...
Na PETER CHANGTOEK KAUNTI ya Makueni inatambulika mno nchini kwa ukuzaji wa mimea ya matunda, kama vile michenza, miembe na michungwa....
NA MERCY KOSKEI WAIGIZAJI mashuhuri Kate Actress na Philip Karanja almaarufu Phil Director, wametangaza kuachana baada ya miaka kadhaa...
NA KALUME KAZUNGU WATALII na wageni wanaozuru Pwani ya Kenya, hasa Lamu tayari wameanza kuhisi ugumu wa gharama ya juu ya maisha...
NA SAMMY WAWERU MAJAA ya taka mitaa mbalimbali Kaunti ya Nairobi yamegeuzwa kuwa tupio la sodo zilizotumika, hali inayoibua wasiwasi...