Dkt Neema Lema atumia teknolojia kutibu watoto kwa kuwapa wazazi wao maelezo muhimu

NA MAGDALENE WANJA WAKATI mwingine, kutibu mtoto mgonjwa huhitaji tu ushauri wa daktari. Baadhi ya wagonjwa pia hawana uwezo wa...

Mkahawa Solutions: Programu inayorahisisha biashara zinazohusu mikahawa

NA MAGDALENE WANJA JANGA la Covid-19 lilikuwa na mazuri yake kwa sababu kwa kiwango kikubwa liliamsha ari ya watu mbalimbali kukuna...

UJASIRIAMALI: Jinsi wazo la kutatua changamoto ya kiafya lilivyozaa biashara kubwa

Na MAGDALENE WANJA MNAMO mwaka 2020, Victor Kamau alitumia muda wake mwingi kufanya utafiti ili kupata dawa za kumtibu nduguye mdogo...

BAHARI YA MAPENZI: Tabia za wazazi hufuata watoto wao hata katika ndoa

NA BENSON MATHEKA MSEMO kwamba mtoto wa simba ni simba unaweza kuwa na tafsiri nyingi kwa muktadha unaotumiwa. Katika masuala ya...

MALEZI KIDIJITALI: Mipaka idumu hata mtoto akiwa kwa ‘ex’ wako

MZAZI anapaswa kuweka mipaka kati ya mtoto wake na mzazi mwenza wasiyeishi pamoja iwapo anahisi kuna sababu ya kufanya hivyo hata baada ya...

PENZI LA KIJANJA: Ikiwa mnapendana, msisahau busu kwani hufanya miujiza

NA BENSON MATHEKA IWAPO unapanga kuoa au kuolewa katika maisha yako, usisahau kubusu mume au mke wako angalau mara mbili kwa siku. Busu...

KIGODA CHA PWANI: Joho anavyomkweza Mboko kwa kususia hafla za Azimio Pwani

NA PHILIP MUYANGA JE kutokuwepo kwa aliyekuwa gavana wa Mombasa Hassan Ali Joho katika mikutano ya siasa ya muungano wa Azimio ya hivi...

JUNGU KUU: Mikakati ya Ruto kumfifisha Raila

NA CHARLES WASONGA RAIS William Ruto anatekeleza mikakati mahsusi inayolenga kufifisha uasi unaoendeshwa na muungano wa Azimio la...

JAMVI LA SIASA: Gachagua alia ugumu wa ‘kukomboa’ Mlima

NA WANDERI KAMAU WENYEJI wa Mlima Kenya sasa wako kwenye njia panda, baada ya Naibu Rais Rigathi Gachagua kusema kuwa ameanza kupata...

UJASIRIAMALI: Asema kuelewa mahitaji ya mteja ndio siri ya kutengeneza wavuti maridadi

Na MAGDALENE WANJA PATRICK Mugambi alianza biashara yake mnamo mwaka 2014 alipokuwa bado ameajiriwa katika kampuni ya kuundia wateja...

Faida na manufaa mbalimbali ya biringanya

NA MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com BIRINGANYA ina vitamini A na C, ambazo husaidia kulinda seli zako dhidi ya uharibifu. Pia...

BORESHA AFYA: Faida na manufaa ya kula muhogo

NA MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com MIHOGO ni chakula cha mizizi ambacho kwa kawaida huwa na wanga nyingi. Mizizi hii ina...