Jinsi unavyoweza kudumisha mifupa yenye afya

NA MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com MADINI huingia kwenye mifupa yako kipindi cha utoto, ujana na utu uzima wa mapema. Lishe...

Shida ya pumu na jinsi unavyoweza kujihadhari nayo

NA MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com PAMOJA na kutumia dawa na mpango sahihi wa matibabu, tiba za nyumbani zinaweza kusaidia...

Jinsi mraibu wa unywaji pombe anavyoweza kujinasua

NA MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com KUACHA ulevi ni lengo ambalo si rahisi kwa mraibu kuliafikia. Mraibu anahitaji kujitolea,...

Je, kuna chakula cha kukusaidia usizeeke haraka?

NA MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com KULA chakula chenye virutubisho vingi ni mojawapo ya njia kuu zinazoweza kukusaidia ujisikie...

SHINA LA UHAI: Ripoti yaonyesha mzigo na janga kuu la kansa nchini

NA PAULINE ONGAJI KWA kila Wakenya watatu wanaobainishwa kuugua kansa, wawili kati yao hufariki, idadi inayowakilisha takriban asilimia...

JIJUE DADA: Kinachosababisha maumivu ya tumbo wakati wa hedhi

NA PAULINE ONGAJI MAUMIVU ya tumbo wakati wa hedhi husababishwa na kutanuka na kunywea kwa njia ya uzazi ili kuondoa damu kwenye kuta...

MUME KIGONGO: Wanaume wanene hatarini kuathiriwa na maradhi zaidi kushinda wanawake

NA CECIL ODONGO WANAUME wanene wanahangaishwa na maradhi zaidi kuliko wanawake, Utafiti umebaini. Watafiti kutoka Chuo Kikuu cha York...

SHINA LA UHAI: Kisonono chaweza sababisha utasa na athari nyingine

NA WANGU KANURI WIKI jana Wakenya walikabiliwa na hali ya mfadhaiko na wasiwasi baada ya kuripotiwa kwa mkurupuko wa ugonjwa wa kisonono...

MUME KIGONGO: Wazee wanywe maji hata wasipohisi kiu – watafiti

NA CECIL ODONGO WAZEE wanahitaji kunywa maji mara kwa mara hata wasipohisi kiu kuliko vijana, utafiti umebaini. Japo kunywa maji mara...

DKT FLO: Nini husababisha kinyesi kuchanganyika na damu?

Mpendwa Daktari, Ni nini kinachosababisha kinyesi kutoka kikiwa kimechangamana na damu? Lilian, Nairobi Mpendwa Lilian, Melena kwa...

DKT FLO: Homa ya mapafu inavyosambaa mwilini, dalili na jinsi ya kuibaini

Mpendwa Daktari, Homa ya mapafu (Nimonia) husambaa vipi? Irene, Nairobi Mpendwa Irene, Nimonia ni ugonjwa unaoathiri moja au mapafu...

TIBA NA TABIBU: Wanasayansi watahadharisha kuhusu uraibu wa simu

NA WANGU KANURI IWAPO unatumia simu yako kupekua mtandao, kucheza michezo mbalimbali, kupiga gumzo, kuangalia baruapepe kwa muda mrefu...