• Nairobi
  • Last Updated October 1st, 2023 9:40 PM

Fahamu kwa nini unashauriwa kula nyama ‘halal’

NA KALUME KAZUNGU MARA nyingi utasikia au kushuhudia biashara ya nyama haramu, ikiwemo paka, mbwa na kadhalika ikiendelezwa kwenye baadhi...

Tiba za nyumbani kwa kichefuchefu

NA MARGARET MAINA [email protected] UMEWAHIi kujisikia kwamba tumbo lako haliko sawa na kwamba unakaribia kutapika? Ikiwa jibu...

PATA USHAURI WA DKT FLO: Nahisi maumivu kila ninapoenda haja kubwa, tatizo ni nini?

Mpendwa Daktari, Kwa majuma kadhaa nimekuwaa nikikumbwa na maumivu kwenye tupu ya nyuma hasa kila ninapoenda haja kubwa. Haya ni maradhi...

BORESHA AFYA: Viungo vizuri kwa afya yako

NA MARGARET MAINA [email protected] Mdalasini MDALASINI ni kiungo kinachoweza kusaidia mtu kupoteza uzito, kudhibiti sukari...

Athari za ukosefu wa maji mwilini

NA MARGARET MAINA [email protected] UNYWAJI na upatikanaji wa maji ni muhimu kwa afya ya binadamu. Bila maji, mwili unaweza...

Namna ya kulikabili tatizo la kutokwa na damu puani

NA MARGARET MAINA [email protected] KUTOKWA na damu puani ni jambo la kawaida. Pua ina mishipa mingi ya damu, ambayo iko karibu...

Ukizoea kufakamia mapochopocho utasumbuliwa na protini nyingi mwilini!

NA MARGARET MAINA [email protected] INGAWA ulaji wa protini ni muhimu kwa afya, lishe yenye afya, ni muhimu kujua dalili za...

Ishara na dalili za upungufu wa vitamini C mwilini

NA MARGARET MAINA [email protected] VIASHIRIA vya upungufu wa vitamini C vinaweza kujumuisha uchovu, michubuko rahisi, na...

SIHA NA LISHE: Fahamu mlo sahihi ikiwa wewe ni ‘vegan’

NA MARGARET MAINA [email protected] MLO wa mboga unaendelea kupata umaarufu.  Lishe ya mboga inaweza kupunguzia mlaji hatari...

Umuhimu na faida ya magnesiamu mwilini

NA MARGARET MAINA [email protected] MAGNESIAMU ni madini muhimu ambayo mwili wako hautengenezi kumaanisha ni lazima uyapate...

Vidokezo mahususi kwa vijana kupunguza uzani

NA MARGARET MAINA [email protected] KUPUNGUZA uzani wa mwili kwa kiasi fulani kunaweza kuboresha afya. Kunafanya mja kujistahi,...

KUKABILI TATIZO: Uvimbe chini ya macho

NA MARGARET MAINA [email protected] WATU wengi hukabiliwa na uvimbe chini ya macho mara kwa mara. Baadhi ya sababu ni kukosa...