Njia za asili za kupunguza viwango vyako vya lehemu

NA MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com KWA maneno rahisi, lehemu ni dutu ya nta iliyopo kwenye damu yako. Ni muhimu kwa mkusanyiko...

Jinsi programu ya ‘Ponea Patient’ inavyosaidia wagonjwa kupata huduma bora za matibabu

NA MAGDALENE WANJA MIAKA minne iliyopita, mfanyabiashara Mike Macharia alikuwa akielekea kazini alipoanza kutokwa na damu puani...

BORESHA AFYA: Mlo wako iwapo unanyonyesha

NA PAULINE ONGAJI WATAALAM wa kiafya wanasema kwamba ili kuboresha afya ya mtoto, maziwa ya mama yanapaswa kuwa chakula chake cha kipekee...

PATA USHAURI WA DKT FLO: Kansa ya ulimi hujitokezaje?

Mpendwa Daktari, Ningependa kujua mengi kuhusu ishara za kansa ya ulimi. Jason, Mombasa Mpendwa Jason, Kansa ya ulimi hutokana na...

SHINA LA UHAI: Wadau kikaoni wahimiza hatua zaidi kupigwa kuboresha afya

NA PAULINE ONGAJI MAKALA ya pili ya kongamano la kimataifa kuhusu afya ya umma barani (CPHIA 2022) yalifikia tamati jijini Kigali,...

Faida na manufaa ya tunda la tini (fig)

NA MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com TINI mbichi kwa kawaida huwa laini kutoka katikati ikiambatana na mbegu. Umbile hili la...

MUME KIGONGO: Wanaume wenye kiwewe hatarini kuugua maradhi ya moyo, kisukari

NA CECIL ODONGO WANAUME wa umri wa kadri ambao hushikwa na wasiwasi mwingi wako katika hatari ya kupata ugonjwa wa moyo, kiharusi na...

SHINA LA UHAI: Ugonjwa wa kupasuka mdomo una suluhu

NA WANGU KANURI MIAKA minne iliyopita, Sarah Naomi alijifungua mtoto wa kike ambaye alimletea furaha kuu. Naomi ambaye alijifungua kwa...

JIJUE DADA: Lishe bora, usingizi mwanana ni njia bora ya kutunza ngozi yako

NA PAULINE ONGAJI HAKUNA atakaye kuzeeka mapema maishani. Hata hivyo, hii ni awamu isiyoepukika maishani. Mojawapo ya sehemu...

MUME KIGONGO: Mwanamume atunze afya kupata mbegu bora ya uzazi – Watafiti

NA CECIL ODONGO JAPO mwanamke ndiye hubeba mimba, mwanaume hutekeleza wajibu muhimu kwa kuwa lazima awe na mbegu bora za kiume ndipo...

Chakula chenye kiwango wastani cha potasiamu

NA MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com KULA ndizi au viazi vilivyookwa vikiwa na ngozi, hukupa dozi nzuri ya potasiamu. Hata...

Kunywa juisi uwe na ngozi yenye afya na inayong’aa

NA MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com ILI kuepusha shida zote zinazohusiana na ngozi, na ili ngozi yako ing'ae na iwe na unyevu...