• Nairobi
  • Last Updated February 26th, 2024 10:50 AM

AFYA: Vidokezo vya jinsi ya kupunguza ‘uzito wa maji’

NA MARGARET MAINA [email protected] UZITO wa maji ni neno linalotumiwa kuelezea maji ya ziada ambayo hujilimbikiza kwenye tishu...

SHINA LA UHAI: Changamoto za wanaosikia kupitia kwa sikio moja

NA WANGU KANURI MWENDWA Mbaabu,41, alipozaliwa sikio lake la kushoto halikuwa linasikia. Hata hivyo, wazazi wake waligundua kuwa...

SHINA LA UHAI: Matibabu ya kansa nchini yamletea afueni afya ikiimarika

NA PAULINE ONGAJI KATIKA kitengo kipya maalum cha matibabu ya kuhamisha uboho (bone marrow transplant) BMT kwenye orofa ya sita ya...

TIBA NA TABIBU: Wakenya wapokea chanjo kudhibiti kipindupindu

NA WANGU KANURI WAKENYA zaidi ya milioni mbili wamepokea chanjo dhidi ya ugonjwa wa kipindupindu. Chanjo hii itapewa watu wote walio na...

SHINA LA UHAI: Abainisha mchango wa wanaume katika upangaji uzazi

NA WANGU KANURI BAADA ya kumpata kitinda mimba wake, mnamo 2014, Tony Hutia aliamua kukatwa mrija wa uzazi (vasectomy). Baba huyo wa...

SHINA LA UHAI: Mradi walenga kuokoa wanawake ukiangazia HIV, kansa

NA PAULINE ONGAJI MIAKA miwili iliyopita Bi Caroline Adhiambo Dede, mkazi wa kijiji cha Mariwa, Kaunti ya Homa Bay, kama kawaida alizuru...

Zifahamu baadhi ya faida za upupu (stinging nettle)

NA MARGARET MAINA [email protected] UPUPU almaarufu stinging nettle, umekuwa ukitumika kama dawa ya mitishamba tangu zama za...

Matumizi mbalimbali ya mafuta ya haradali

NA MARGARET MAINA [email protected] MAFUTA ya haradali, ambayo hutolewa kutoka kwa mbegu za mmea wa haradali, ni kiungo cha...

Kuitunza ngozi: Fahamu tatizo kabla ya kuchagua mbinu na tiba mahsusi

NA MARGARET MAINA [email protected] MFADHAIKO unaweza ukadhihirika kupitia hali ya ngozi kama vile mtu kuwa na chunusi, uvimbe...

Jinsi unavyoweza kudumisha mifupa yenye afya

NA MARGARET MAINA [email protected] MADINI huingia kwenye mifupa yako kipindi cha utoto, ujana na utu uzima wa mapema. Lishe...

Shida ya pumu na jinsi unavyoweza kujihadhari nayo

NA MARGARET MAINA [email protected] PAMOJA na kutumia dawa na mpango sahihi wa matibabu, tiba za nyumbani zinaweza kusaidia...

Jinsi mraibu wa unywaji pombe anavyoweza kujinasua

NA MARGARET MAINA [email protected] KUACHA ulevi ni lengo ambalo si rahisi kwa mraibu kuliafikia. Mraibu anahitaji kujitolea,...