• Nairobi
  • Last Updated April 26th, 2024 5:10 PM

Wataalam wa afya wataka sigara kupigwa marufuku nchini

NA SIAGO CECE WATAALAM wa afya wameitaka serikali kupiga marufuku kilimo cha tumbaku na matumizi ya sigara nchini wakisema inazidi...

Hii ni kwa wanaonyonyesha na inawabidi kuenda kazini

NA MAUREEN ONGALA MSHIRIKISHI wa maswala ya afya ya uzazi katika Kaunti ya Kilifi Bw Kenneth Miriti amewahimiza akina mama wanaofanya...

Miss Independents watoa Sh300,000 wapachikwe mimba

NA MWANGI MUIRURI BIASHARA ya kununua mbegu za wanaume imenoga katika Kaunti ya Murang'a ambapo baadhi ya wanawake wanalipa hadi...

KEFRI mbioni kuunusuru mti adimu unaoitwa Euphorbia tanaensis

NA KALUME KAZUNGU SHIRIKA la Utafiti wa Misitu nchini (KEFRI), tawi la Lamu, liko mbioni kuunusuru na kuuhifadhi mmojawapo wa miti adimu...

Upanzi wa mikoko waleta afueni kwa wakazi wa Mkupe

NA PAULINE ONGAJI KAA wekundu wanachungulia kupitia mashimo madogo kwenye ufuo uliojaa matope, huku ndege wakiruka kutoka tawi moja hadi...

Fahamu kwa nini unashauriwa kula nyama ‘halal’

NA KALUME KAZUNGU MARA nyingi utasikia au kushuhudia biashara ya nyama haramu, ikiwemo paka, mbwa na kadhalika ikiendelezwa kwenye baadhi...

Tiba za nyumbani kwa kichefuchefu

NA MARGARET MAINA [email protected] UMEWAHIi kujisikia kwamba tumbo lako haliko sawa na kwamba unakaribia kutapika? Ikiwa jibu...

PATA USHAURI WA DKT FLO: Nahisi maumivu kila ninapoenda haja kubwa, tatizo ni nini?

Mpendwa Daktari, Kwa majuma kadhaa nimekuwaa nikikumbwa na maumivu kwenye tupu ya nyuma hasa kila ninapoenda haja kubwa. Haya ni maradhi...

BORESHA AFYA: Viungo vizuri kwa afya yako

NA MARGARET MAINA [email protected] Mdalasini MDALASINI ni kiungo kinachoweza kusaidia mtu kupoteza uzito, kudhibiti sukari...

Athari za ukosefu wa maji mwilini

NA MARGARET MAINA [email protected] UNYWAJI na upatikanaji wa maji ni muhimu kwa afya ya binadamu. Bila maji, mwili unaweza...

Namna ya kulikabili tatizo la kutokwa na damu puani

NA MARGARET MAINA [email protected] KUTOKWA na damu puani ni jambo la kawaida. Pua ina mishipa mingi ya damu, ambayo iko karibu...

Ukizoea kufakamia mapochopocho utasumbuliwa na protini nyingi mwilini!

NA MARGARET MAINA [email protected] INGAWA ulaji wa protini ni muhimu kwa afya, lishe yenye afya, ni muhimu kujua dalili za...