• Nairobi
  • Last Updated April 15th, 2024 2:58 PM

Pasta atoa ushuhuda jinsi alivyoepuka kupata virusi vya Ukimwi licha ya uzinzi

NA FRIDAH OKACHI MCHUNGAJI wa kanisa la Life Church International-Kiambu, Anthony Kahura Mwangi almaarufu 'Pastor T Mwangi' ametoa...

‘Tiktoker’ Azziad Nasenya apuuzilia mbali uvumi kwamba ‘kuna mubaba nyuma ya ufanisi wake’

NA FRIDAH OKACHI 'TIKTOKER' maarufu nyumbani na ughaibuni, Azziad Nasenya, amesema alipata kazi katika Wizara ya Michezo kutokana na...

Seneta Karen Nyamu asimulia jinsi penzi lake kwa Samidoh ni gluu ‘permanent’

NA FRIDAH OKACHI SENETA maalum Karen Nyamu amefichua amewahi kujaribu kujitoa kwenye uhusiano wa kimapenzi na mwanamuziki Samuel...

Ex wa Bahati, Yvette Obura ‘aringisha’ kadudu Nissan Note akisema ni bidii yake

NA FRIDAH OKACHI MFANYABIASHARA Yvette Obura apiga hatua kwa kununua gari ambalo limesisimua mashabiki kwenye mtandao wa...

Koffi Olomide kutumbuiza nchini akiendelea kusahau masaibu ya 2016 alipofurushwa kwa kupiga mnenguaji

NA MERCY KOSKEI MWANAMUZIKI mahiri wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Koffi Olomide anatarajiwa kutumbuiza mashabiki wake nchini...

Pasta Ng’ang’a asema makataa yake yamesaidia wengi kutafuta wachumba tayari kwa ndoa

NA MERCY KOSKEI MCHUNGAJI wa Kanisa la Neno Evangelism James Maina Ng’ang’a amedai kuwa waumini wa kanisa lake ambao wamekuwa...

Brown Mauzo na Vera Sidika kukutana uso kwa macho baada ya kurushiana cheche mtandaoni

NA FRIDAH OKACHI SOSHIOLAITI Vera Sidika na mwanamuziki Brown Mauzo wanatarajiwa kukutana kwenye hafla moja wikendi hii...

Babu Owino asema hajutii kuvuta bangi, kutumia mihadarati awali

NA FRIDAH OKACHI MBUNGE wa Embakasi Mashariki Paul Ongili maarufu Babu Owino, hanywi tena pombe wala kutumia dawa za kulevya baada...

Tiktoker Nyako kwa mara ya kwanza azungumzia giza lililogubika familia yao

NA FRIDAH OKACHI 'TIKTOKER' Roseline Ngolo almaarufu Nyako Pilot, amezungumzia jinsi alivyowapoteza wazazi wake na dada wawili kutokana...

Sauti Sol kupiga densi ya mwisho leo na kuachana rasmi

HILARY KIMUYU na FRIDAH OKACHI  “Tumefanya mazoezi kwa ajili ya onyesho la mwisho la ‘Densi ya mwisho’ ya miaka 17,” alisema...

Mademu, hakikisheni mnazaa na wanaume walio na akili, Jackie Matubia ashauri

NA FRIDAH OKACHI Mwigizaji Jackie Matubia amesimulia mahangaiko ya kulea wanawe wawili bila kupata usaidizi wa baba zao. Bi Matubia ni...

Mwanaharakati Boniface Mwangi akaangwa mitandaoni baada ya kuhukumiwa kifungo jela kwa kuikaidi mahakama

NA FRIDAH OKACHI MWANAHARAKATI Boniface Mwangi amehukumiwa atumikie kifungo cha miezi miwili endapo atashindwa kulipa faini ya Sh300,000...